Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

?hiyo miili inamahusiano gani na waliokamatwa? Akina Mh Lissu wameanza lini kuwaa walinzi wa mortuary?
 
Ndio Wasira kawatuma nini?
Hadi kieleweke Mungu yupo pamoja na Umma,atawalinda na kuwasimamia Makamanda wote.
Nchi kama haina serikali! Ndo maana cdm wanaingilia kati kila jambo,kuna ombwe kubwa! Yale mauaji tarime ni kesi nzito lakini mawaziri husika wameishia kutoa majibu mepesi mno! Waziri mkuu sijui yupo likizo,makamu wa raisi ndo kwanza yupo zenji! Yaliyo na yanayotokea tarime hakuna suluhisho? Mbona serikali inazidi kujipalia makaa? Hapa nilipo namachungu ya mgao up to now gizani.
 
Saa ya ukombozi imewadia. Mbona nguvu kupita kiasi, nini kinataka kufichwa hapo? Naamini safari ya CCM kuelekea kaburini itaanzia Tarime
 
Sidhani Kama nitapata usingizi sababu taarifa hii imenipa hasira nnatamani kujilipua nife hata polisi mmoja ikiwezekana.Ipo haja ya Watanzania wote kupingana na Serikali ya ccm kwa njia yoyote ile.Amani sasa hapa Tanzania ipo wapi?Kwa nini wanyonge tunaonewa?Ni lini Mungu atasimama na sisi na kututetea?Kwa nini watawala mnatufanyia hivi!!!!?.
 
Halafu wakiingia martuary inakuwaje Wanataka kuzika wao? then what? Watu wote wa Tarime na Tanzania kwa jumla wanapoteza memory na kusahau yaliyotea au vipi? Mambo ya kitoto kabisa yanafanyika sasa.

Nahisi kama kuna mapungufu makubwa sana kwenye safu wa washauri magogoni. Hii issue ya Tarime inaweza kutatuliwa kwa mazungumzo sio mabomu.
 
Sasa ndio ifike wakati wa kuandaa maandamano ya mapinduzi ya kweli nchi nzima kupinga huu udhalimu wa magamba.
 
Waliokuwa wanatupa taarifa hivi sasa na wao hawapatikani.Tunajitahidi kupata taarifa kadiri tutakavyoweza.

MUNGU walinde wananchi wote wa Tarime asipotee hata mmoja katika tukio hili.

Wasipowaachia huru makamanda wote pamoja na kuruhusu uwanja utumike kesho, basi itisheni maandamano nchi nzima kudai safu yote ya juu police ing'oke.
 
askari wa kiafrika ho.hata wakoloni walitumia wenzetu kututesa sometimes! Inabidi kujenga upya mitizamo ya askari wetu.Misri mfano hai
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Mh!.. Hizi Habari kama Sielewielewi...
1. Kwann polisi wavamie mochwari??
2. Akina Lissu ,Waitara na Makamanda wengine wa CHADEMA walikua wanafanya nini huko mochwari??
3. Baada ya hao polisi kuingia mochwari walifanya nini na miili marehemu iliyoko huko??
4. Nadhani tunahitaji suluhisho la kudumu la matatizo haya ya mapigano kati ya polisi na raia!..
 
Wasipowaachia huru makamanda wote pamoja na kuruhusu uwanja utumike kesho, basi itisheni maandamano nchi nzima kudai safu yote ya juu police ing'oke.
Majeshi yetu yanatumiwa vibaya tena kisiasa na makamanda wa juu hawawezi kuwa na msimamo mmoja mpaka inatia hasira.kupiga tu raia kila cku!
 
Enough is enough, nina machungu ya kesi ya EA Community babangu kafa bila kupata chake na sasa kabla sijaweka kichwa chini nasikia ya Tarime. Wana Tarime mko kwenye sala zangu na Watanzania kwa ujumla. Mungu ndiye muweza wa yote awalinde.
 
Back
Top Bottom