Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

Haya ni maajabu yani polisi wa ccm wanavamia mochwari? wanawakamata wafiwa na waombolezaji? Ninaunga mkono kauli ya raisi wangu halali Dr Slaa tanzania haitatawalika!!! mkweree lazima ang'ooke kabla ya 2015
 
....Kuna watu wanauliza maswali ya ajabu ajabu na kuzidisha hasira !! Kama hujui issue nzima basi nenda na usome previous threads...ebo...!!

Huyu JK anazidi kuthibitisha inji imemshinda, na/au hata walio chini yake hawamsikilizi au kumpa ushauri wa maana....
 
msilale,kwanini msiende kituoni mkawashikishe adabu!i wish ningekuwa fit,kesho ningekuwa hapo.mapambano ndiyo yameanza sasa hatuwavumilii tena.
 
Huu ndio utawala wa CCM tuliambiwa tukiichagua CCM tutajuta hatukuuamini.
 
Hivi waziri wa mambo ya ndani yuko wapi na anafanya nini, nashauri awajibike kwa hili. Kama hizi habari niza kweli nahakika serikali ya ccm inapandikiza chuki itakayo wagharimu wenyewe. Tunataka aman jamani
 
moshi mkubwa umetanda hapa na inasemekana amepigwa risasi ya jicho ila hospitali imevunjwa hata camera yangu
 
serikali sasa imeshika pabaya...reaction ya walichokifanya itafuata soon. wananchi wa jana si wa leo. Mfano uko Libya...Bunduki si kitu. Madini yetu watuchukulie, na kutuua watuue...? Never. Mura bhano na bharisya tu.
 
sasa najua kwa nini wa palestina au kule afghanistan watu wanajitoa mhanga. kwa nini yule dogo alijitia kiberiti kule tunisia na kusababisha mapinduzi kwenye nchi za kiarabu kumbe yanaanzia km huko tarime. huwa naona maandamano wale red shirt wa thailand, polisi ana kirungu na waandamanaji wana virungu, hizi nchi za maziwa makuu silaha njenje watu wanabadirishana debe la mahindi na ak-47 kwa mtindo huu wa ccm kuua raia soon wataibuka akina farah aideed au al shabaab mtu ana kundi lake linamiliki silaha nzito polisi wakileta fyoko km hivyo mnachinja wooote. naona sasa imefika wakati wa kukomesha huu udhalimu to hell na hii amani ya KICHINA tushikishane adabu wenyewe ili huko mbele tuheshimiane
 
Hivi raisi Jakaya Kikwete upo wapi?Ukiwamaliza hawa binaadamu wenzio unaowatawala,utatawala miti au mawe?
Roho inaniuma sana
 
ni kuwa tangu majira ya saa moja jion leo polisi walipeleka barua kwa katibu wa cdm na kuwaeleza kuwa kutokana na sababu za kiintelijensia hawaruhusu marehemu kuagwa kesho uwanja wa saba saba kama walivyokubaliana jana.
ZIkawepo taarifa zilizovujishwa na polisi wadogo kuwa wanalazimishwa kwenda kuchukua maiti usiku huu mochwari ila hawajaambiwa wanazipeleka wapi ,ndipo wananchi na wakina lissu wakaamua kwenda kushirikiana kulinda marehemu wao.
Polisi kuona ivo wakakata umeme tangu saa moja usiku na ilipofika saa nne wakaenda kuwavamia na wamewapiga sana mabomu ili kuwatawanya na kuwakamata hata wazazi wa marehemu,na kuchukua miili .sasa ilipopelekwa hapajulikani mpaka sasa.
JAna Marando na CHAGONJA walikubaliana kuwa marehemu wataagwa kwa heshima za mwisho kutolewa uwanjani. sasa sijui hali itakuwaje.
na sasa watu wanapiga yowe ambalo ni ishara kuwa kila mwenye silaha atoke maana kuna jambo la hatari.
ntawajuza zaidi baadae.
 
CCM has planted the seeds of its own destruction, soon watavuna walichopanda. JK anazidi kuzipunguza siku za kukaa ikulu.
 
haya ni maagizo ya JK kwani MWENYEWE na wala sio polisi kwani wao jana walishakubaliana miili iagwe. Hivi chagonjwa kwann usijiuzulu? IGP utahusishwa na umwagaji damu mpaka lini? si ungatuke ubaki na heshima kuliko kuendelea kuhusishwa na mauaji ya watanzania wenzako ili kulinda wezi wa rasilimali zetu? naomba tuende kule kwa wadau wa barrick gold na wanahisa wao wajue wanavyofanya Tanzania.hatua ya kwanza mgodi ufungwe na waondoke kwani wanahusika na damu hizi.
 
Wamechanganyikiwa kiasi kwamba sasa wanaivunjavunja Katiba ambayo wanaitetea na kuilinda kwa nguvu zao zote, kwani inawanufaisha wao, hata kama wakiivunja bado haina uwezo wa kuwawajibisha. Kama ni uhuni, umepita mipaka. Hawajaona yanayotokea Misri, Tunisia, Yemen na Libya? Bado hawajatia maji kichwani... watanyolewa wakavu wakavu!
 
Back
Top Bottom