Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,198
Wamechukua maiti kwa nguvu wameondoka nazo wakati wazazi wa marehemu nao wamekamatwa
Haya maneno kama ya kweli basi serikali yetu inapotupeleka ni kubaya zaidi tunavyofikiria.
Wamechukua maiti kwa nguvu wameondoka nazo wakati wazazi wa marehemu nao wamekamatwa
Wamechukua maiti kwa nguvu wameondoka nazo wakati wazazi wa marehemu nao wamekamatwa
Sijui tunakwenda wapi!Inasemekana kuwa Polisi wamechukua maiti zote na kutoroka nazo..Wamewaachia baadhi ya waliokamatwa lakini Lissu na Mwita Mwikwabe hawajaachiwa.Inasemekana kabla hawajatimiza azma yao ya kuiba maiti walikata umeme tangu saa 1 jioni baada ya kumaliza kazi yao wamerudisha umeme.Hii ndio Tanzania,Serikali ya Awamu ya Nne.
Sijui tunakwenda wapi!
mtoa thread should you go into details tafadhali, pamoja na mafyongo ya polisi wetu hawa lkn katika tukio hili there must be a reasonable cause, polisi wanawezaje tu kuanza kurusha mabomu ya machozi na kukamata watu? walikuwa wanavamia monchwari wakafanye nn? tafadhali
Inasemekana kuwa Polisi wamechukua maiti zote na kutoroka nazo..Wamewaachia baadhi ya waliokamatwa lakini Lissu na Mwita Mwikwabe hawajaachiwa.Inasemekana kabla hawajatimiza azma yao ya kuiba maiti walikata umeme tangu saa 1 jioni baada ya kumaliza kazi yao wamerudisha umeme.Hii ndio Tanzania,Serikali ya Awamu ya Nne.
hii hapa!!!!!!!Regia Mtema please nini kinaendelea. Update us please