Hali ni mbaya, ona hapa

Anajitesa bure, hapo mwagia mchuzi wa nyama au maharage unakula kuulaini.
 
Thithi ni wabahili huwa tunakula ugali kwa picha ya samaki,thupu kwa viazi...Mshana na Mvungi njoeni huku!
 
hata picha ya thamaki ni ya kukopa bwana uthitoe petha hovyo hovyo
Thithi ni wabahili huwa tunakula ugali kwa picha ya samaki,thupu kwa viazi...Mshana na Mvungi njoeni huku!
 
Nilikua naskia tu wapare wabahili.
nina jirani yangu mpare aisee huyo dada tumbo lake mwenyewe kulisha anaona hasara..Ndani ana hela za kutosha lakini amaweza asipike akuombe chakula, au anunue majani ya Kunde achemshe.
Utampa umpavyo yeye akiwa nacho ni mchoyo haina mfano bora kitu akitupe sio akupe wewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3]hanunui simu anatumia yangu mara 1 moja
akitaka kuomba hela kwa mumewe ya matumizi anaweza kaa njaa kisa hataki kunua vocha anangoja apigiwe[emoji3]
Bwana ake alimwambia anipe betri la Samsung jipya la simu ( Maana alinunua halafu simu ikaibiwa Halafu simu zetu zinafanana na anaitumia mara nyingi tu) Bwana kazunguka mkoani Mpaka karudi akalikuta betri halitumiki imebidi acheke [emoji3] kunipa tu kitu asichotumia na hatakuja kutumia anaona bora kiharibike.
Bwana ake akituma Hela mfano ef50 anatoa ef47550 yani anatoa mpaka ile shilingi ya mwisho hakuachii hata cent1[emoji3][emoji3][emoji3]
wapare Mungu awaangazie aisee
 
ahaaa,
[emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…