mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 559
Vp kuna updates zozote?
Acha wafe wakome waliambiwa serikali hii ya mapungwani wakabisha..ma dokta hasa wewe dokta chichi gomeni milele..tena ikibidi mpasue hata na thermometer na darubini kabisa
wewe mkorofi!!! una utani uliopitilia!Hivi pale lango kuu la kuingia Muhimbili sikuna mapicha ya mafanikio makubwa ya sekta ya afya kwa miaka hamsini ya uhuru tena yamesindikizwa na kauli mbiu ya "Tumejaribu ,Tumeweza na Tunazidi kusonga mbele" Au mi sioni vizuri? sa matatizo Muhimbili yatakuwa yanatoka wapi? Nadhani madaktari waongo au wametumwa na maadui wa nje.au ni vyombo vya habari. Eti ndugu zangu nyie mnaonaje?
serikali yenu haitaki kukaa chini na kutusikiliza
huu utani sasa umepitilia!!!Hivi pale lango kuu la kuingia Muhimbili sikuna mapicha ya mafanikio makubwa ya sekta ya afya kwa miaka hamsini ya uhuru tena yamesindikizwa na kauli mbiu ya "Tumejaribu ,Tumeweza na Tunazidi kusonga mbele" Au mi sioni vizuri? sa matatizo Muhimbili yatakuwa yanatoka wapi? Nadhani madaktari waongo au wametumwa na maadui wa nje.au ni vyombo vya habari. Eti ndugu zangu nyie mnaonaje?
Acha wafe wakome waliambiwa serikali hii ya mapungwani wakabisha..ma dokta hasa wewe dokta chichi gomeni milele..tena ikibidi mpasue hata na thermometer na darubini kabisa
na upuuzi ambao nimeuona eti viongozi wanakutana na waandishi wa habari badala ya kukutana na madaktari na wanasema madaktari warudi kazini wanaoteseka ni wananchi wa kawaida, hiyo yote ni kutafuta huruma kutoka kwa wananchi viongozi wetu kweli majuha, kwa nini wasiende kuongea na madaktari wamalizane nao kwanza kwa kuongea nao ana kwa anaserikali yenu haitaki kukaa chini na kutusikiliza