Hali ni mbaya Dar es Salaam!

Hali ni mbaya Dar es Salaam!

unaenda mazoezini na unasubiri daladala(5kms only)? ungepasha tu ndugu yangu!. yanini kuwapaka majasho wenzio!.
 
We jamaa kama kenge unaenda mazoezini arif unataka kupanda daladala hujui umuhimu wa mazoezi, nenda kwa jogging mkuu au unafanya mazoezi ya kichuma mboga?
 
unaenda mazoezini na unasubiri daladala(5kms only)? ungepasha tu ndugu yangu!. yanini kuwapaka majasho wenzio!.

it's not recommended kufanya mazoezi ktk barabara za dar sasa hivi.unaishia kujaza carbon monoxide na bacteria kibao kwenye mapafu.miaka yako 5 tu lazima upate complications!unahitaji hewa safi eneo unalofanyia mazoezi kwa sababu unakuwa unavuta hewa nyingi mapafuni.kama mnabisha hebu jaribuni kufanya zoezi kutoka ubungo hadi magomeni jioni kwa wiki moja tu.,kama hamjapata kifaduro!hapo hujakoswakoswa na bodaboda na guta,lol!
 
We jamaa kama kenge unaenda mazoezini arif unataka kupanda daladala hujui umuhimu wa mazoezi, nenda kwa jogging mkuu au unafanya mazoezi ya kichuma mboga?

hiyo jogging yote naifanyia uwanjani kama warm up kabla sijaanza mazoezi yangu.sio salama kukimbia wala kutembea along dsm major roads kama unakwenda umbali mrefu kwa usalama wa afya yako na roho yako.nimeshakimbia sana barabarani hivyo nazijua athari zake.pia lami sio nzuri kwa miguu yako ikiwa wewe una ratiba ya kukimbia zaidi ya km 3 kila siku maisha yako yote.sasa mie nina miaka ishirini ktk utaratibu huu na kwa wiki nafanya siku nne.ningeendelea na lami saa hizi magoti,nyonga,ngoko,ankle na makanyagio yote kushney bandugu!
 
Hivi ule mpango nilousikiaga wa kuhamishia mji mpya bagamoyo na ujenzi wa airport ya kimataifa uliishia wapi? Na ule wa kigamboni je? Daaahhh namshukuru mungu alinipaga akili zamani ya kuhama huo mji, siku hizi nikija hapo sikai zaidi ya siku 5. Mji joto, mji foleni, mji usafiri shida, mji zinaa kila kona, mji shida ya maji, kwa kweli dar sifikrii kurudi kabisa! Wacha niwe wa mkoani tu!
 
watu wanajazana dar kwakua maamuzi yote makubwa yanafanyika dar mfano interview na ajira zote nzuri zina anzia dar wewe ng,a ng,ania huko bush utashangaa sisi tulio dar tunaendelea kugawana cake ya taifa

Hapa unanisema mie nilieshindwa pilika za mjini na kurudi bushi Nyantakubwa ila nashukuru mungu ninaendesha mambo yangu kwa remote nikiwa bushi Nyantakubwa
 
Sasa kwa akili yako, London ni sawa na Dar? Dar hakuna miundo mbinu and nothing works right here in Dar Es Salaam.
Kwa logic ya mada hii kila kitu kibaya duniani ni kwa sababu ya CCM na si watu wake, sasa mbona kwingine wameweza?
Fikiria?
 
Hivi ule mpango nilousikiaga wa kuhamishia mji mpya bagamoyo na ujenzi wa airport ya kimataifa uliishia wapi? Na ule wa kigamboni je? Daaahhh namshukuru mungu alinipaga akili zamani ya kuhama huo mji, siku hizi nikija hapo sikai zaidi ya siku 5. Mji joto, mji foleni, mji usafiri shida, mji zinaa kila kona, mji shida ya maji, kwa kweli dar sifikrii kurudi kabisa! Wacha niwe wa mkoani tu!

Nimegundua watu tunatofautiana sana aisee. Hizo unazoziona wewe kama kero, wenzio ndio wanazipenda! Mi kuna jamaa zangu wanakuambia hata iweje hawahami dar! Wengine hata wakipata kazi mikoani wanazikataa ili waendelee kubaki dar wakati hamna cha maana wanachokifanya. Cha ajabu kila ukiwakuta ni kulalamika tuuuu.. Mi naomba muendelee kubaki hukohuko dar ili sisi tufaidi maisha huku mikoani. By the way tunawasubiri mwezi huu mje na magari yenu ya kuazima!!
 
Sasa wewe mangi unamsema jirani yangu Masssawe ambaye hataki kuhamia Mabwe Pande, na ni mfurukutwa wa CDM.
Mwezi huu anahha kumtafuta Shoo amwazime ile GX yake aje Hai kuhiji!!!
 
Nadhani katika dunia hii hakuna jiji la ovyo kama Dar.juzi nilikuwa huko, ilinichukua masaa matatu kusafiri kutoka ubungo mpaka Temeke. nikajiuliza hivi kungekuwa na watu wengi kama Cairo ingekuwaje? hapo ni watu milioni 6 tu shughuli ndio hiyo.
 
Back
Top Bottom