Hali ngumu: Bodi ya mikopo waamua kutafuta kutafuta Per diem kwa kuwasaka wadaiwa sugu

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
946
1,000
I am sure president Magufuli ni mtu smart and will shut it down. Wanataka kumpiga pesa, hapa labda wafanye for free na sio kulipwa pesa kwani usakaji wao huo utatumia pesa nyingi sana hadi kukamilika.

Magufuli stuka.
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
1,689
2,000
Najaribu kuwaza,walisema watapita ofisi hadi ofisi kusaka waajiri sugu? hivi ili uwe muajiri si inabidi uwe na angalau taarifa hizi:
  • Usajili brela
  • TIN # kutoka TRA na ulipe kodi ipasavyo.(Waajiriwa nao hukatwa Payee ?)
  • Leseni ya biashara kutoka halmashauri unayofanyia kazi.
  • Uwasilishi wa malipo ya mifuko ya hifadhi za jamii kwa waajiriwa wako.
Hizi si data ambazo zipo kwenye hivyo vyombo husika, wameshindwa kuomba hizo data na kujua kuna waajiri wangapi hapa nchini na wana waajiriwa wangapi na majina yao?

Kulikuwa na umuhimu wa kuanza kukimbia nchi nzima kweli?

Kiufupi naona kama bodi ya mikopo ni watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri mpaka wanashindwa kujiendesha kwa faida. Haiwezekani taasisi inayotoa mikopo tena kwa zaidi ya miaka 10 itegemee ruzuku kutoka serikalini ili kuweza kutoa mikopo kwa mwaka unaofuatwa. Hawa ilitakiwa wajiendeshe wenyewe tena kama benki.

Kama inawezekana hii bodi yote ivunjwe waweke watu wapya na mikakati mipya vinginevyo tutaishia kuona tu sarakasi za hapa na pale zisizo na manufaa kwa taifa.
 
Fair comment!
 
muhomakilo jr

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
11,165
2,000
Mbona nilisikia,wale viongozi walioachishwa kazi,waliharibu kumbukumbu nyingi za wanafunzi,hivyo taarifa nyingi za wadaiwa hawana.
 
Offline User

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
3,840
2,000
nina mwaka wa 10 sasa tangu nigraduate na sikatwi mkopo... nawaomba waje pale #$%& Pub watanikuta kuanzia saa 11 jioni.
 
reg edit

JF-Expert Member
Oct 4, 2012
320
500
Their IT department sucks! Yani kupata statement ya deni mpaka uende ofisini kwao. Hawa jamaa ni wa kutumbuliwa wote
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom