Baba Sangara
JF-Expert Member
- Dec 16, 2007
- 293
- 154
Niliwaonyeni kuhusu huko nyuma!
Jamaa ni kibaraka na nchi nyingi za kiafrika zinaongozwa na vibaraka........umefuatili statement ya Zuma alotoa hivi karibuni?
Kama kuna kibaraka ni Gbagbo mwenyewe. Kwenye kujaribu kuzigawanya nchi za ulaya katoa contract hovo hoyvo bila hidhini ya mtu tena kupitia watu binafsi kama mlebanon mmoja Pierre Fakhoury
Contract ya Mafuta - total France
Oil Block tatu - Lukoil Russia
Gold Concession 2 kubwa -Anglogold South Africa
NK Cha ajabu wote wamemruka sasa...
Jacob Zuma hana cha kusema, Anglogold iko kwenye eneo la Kaskazini. Hawezi kutoa tola hata moja ya dhahabu bila Ouattara kukubali.. Ndio maana anaanza kupiga yowe za ajabu. Mambo ya kuhesabu kura tena atakavyo Gbagbo na Zuma hayawezekani tena kama AU na Odinga walivyosema. Copy za PV (voting tallies) ziko na UN na zimeishakaguliwa mara millioni moja. Zile ziliko kwenye mahakama ya katiba zimecahfuka tayari na hazifai.
Kwa hivyo ukisomea marekani na kama umefanya kazi marekani siku hizi unakua kibaraka?