The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
Sasa kuna tatizo gani serikali kuhifadhi pesa yake.Niambie ni nchi gani serikali inaweka pesa zake katika benki za biashara.
Kwa Magufuli wote waliozoea vya kunyonga lazima walambe mchanga.
Hizo benki Warekebishe tu cash flows zao ikibidi hata kukopa benki za nje
Kina nani sasa waliozoea vya kunyonga? Mabenki? Au Lowassa na Mbowe?.....fafanua pls