Hali mbaya SANA.... sikitiko

CCM are stuck between a rock and a hard place. Most of oil business magnates are purpoted major party sponsors, and they played a great deal of contribution to put CCM into power. So how could CCM act senselessly and cut the hand that feeds them?
 
kinachosikitisha ni kauli za kitoto zinazotolewa wakati tunajua fika kwamba kuna conflict of interest between politician, government (e.g. BP na serikali wa shares sawa) na mafia network among businessmen who knew our weakness long ago

TITANIC IS SINKING!!!
 
Mnajua nini?
Mimi ninaside na hawa wafanyabiashara

In short Tanzania ni nchi ambayo ngumu sana kufanya biashara na sishangai sana kuhusu hizi charges na rushwa iliyokithiri

serikali inasema meli zinakaa siku 5 kule baharini...ukweli ni kuwa meli zinakaa mpaka siku 50 kule nje baharini kwenye foleni sasa hilo huhitaji kujua kuwa kuna incompetency sehemu na sishangai kuskia TRA na EWURA wana husika

Sasa huyu kaleta hoja na vielelezo na kasema kama kuna mtu anahitaji zaidi amtumie e-mail.

sisi tumezidi:

rushwa

urasimu

mazingira magumu kufanya biashara

Kodi zisizoeleweka kila kona badala ya kodi moja na ambayo inaeleza inafanya nini

local authorities kujaa staff ambao pia ni wala rushwa na wahuni

sasa tusitake kukaa hapa na na kutaka kuitakasa sana serikali na departments zake ili hali ukweli tunaujua lakini hatutaki kuuweka wazi. Naungana na wenye vituo hivi na nashauri its about time they come back and fight hizi slander wanaztumiwa kwa kuweka wazi jinsi wanavyonyonywa watu kama TRA,TBS,EWURA, LOCAL AUTHORITIES na kadhalika.

sitaki kuanzisha thread nyingine kwani siku hizi naona kabla hujaanzisha thread inabidi ipitie kwa GESTAPO wa JF kabla hajatundikwa so tutaendelea humu humu kuelezana

Lakini baada ya catalogs za uwongo toka serikalini mimi nikiambiwa nani nimwamini between serikali na wafanyabiashara hawa then nadhani mnajua nitakuwa upande upi
 
nA HILI LA MAFUTA LITAIBUA MENGI SANA...

TUMEZIDI KUDANGANYWA

KAMA SERIKALI WANAJUA MIPANGO BASI NOTISI INGETOLEWA MUDA ILI KU-MANAGE FORECASTS ZA PRODUCT...

NAHISI WANAOFIKIRI KWA KUTUMIA MAKALIO NI WENGI KULIKO MASABURI ALIVYOAINISHA
 
kinachosikitisha ni kauli za kitoto zinazotolewa wakati tunajua fika kwamba kuna conflict of interest between politician, government (e.g. BP na serikali wa shares sawa) na mafia network among businessmen who knew our weakness long ago

TITANIC IS SINKING!!!

mimi naona bora mgomo uendelee na who knows inawezekana ukaja kufufua madhila mengi ambayo ni underlining cause ya kufanywa biashara na departments za serikali husika

Narudia btn serikali na wafanya biashara mimi nitaamini zaidi kauli ya hawa wafanya biashara
 
Wafanyabiashara ya mafuta wanataka kurudisha pesa zao walizotoa kwa ajili ya kampeni (CCM) mwaka jana, Magamba wanataka kuonekana heros!! tunaumia sisi WATANGAGIZA!!
 
nA HILI LA MAFUTA LITAIBUA MENGI SANA...

TUMEZIDI KUDANGANYWA

KAMA SERIKALI WANAJUA MIPANGO BASI NOTISI INGETOLEWA MUDA ILI KU-MANAGE FORECASTS ZA PRODUCT...

NAHISI WANAOFIKIRI KWA KUTUMIA MAKALIO NI WENGI KULIKO MASABURI ALIVYOAINISHA

kaka our Govt na forecasts wapi na wapi?

sisi hatuna disaster planners. Mfano magufuli anawaambia NSSF serikali itawapa pesa za kujenga daraja la Kigamboni lakini mpaka leo hakuna hata signature moja toka treasury iliyokubali maneno yake kule jukwaani

we are just a bunch of incompetents, kuanzia Serikalini mpaka JF
 
Wafanyabiashara ya mafuta wanataka kurudisha pesa zao walizotoa kwa ajili ya kampeni (CCM) mwaka jana, Magamba wanataka kuonekana heros!! tunaumia sisi WATANGAGIZA!!

Kwa hiyo wewe btn wafanya biashara na serikali unaamini sana serikali eeh?
 
Kwa kweli there is no better way to explain shida za mafuta, umeme, nk.

Upande wa wafanyabiashara, wana hoja na zina mantiki... hasa kuhusu ulaghai!!
Upande wa serikali... tunasikia kujadili, kutoa notice etc.
upande wetu, hali mbaya sana... wapo wanaojifungulia njiani, wanakosa elimu, wanaokosa vipato nk

kinachoniudhi ni jinsi wahindi na waarabu ambavyo hadi sasa hawajaathirika... this just confirm kwamba wana mitandao na serikali zao ndani ya hii nhci na hawaathiriki kwa namna yoyote na janga hili.... THEY HAVE ESTABLISHED THEIR OWN FUEL SUPPLY SYSTEMS

SAD!!
Mhindi hahitaji mafuta kwa kuwa anaishi Upanga just a walking distance. Nani alikutuma kuishi Tegete, Kibamba< Mabagal, Pugu, Kigambini n.k. Mkipata nyumba za NHC mnaziuza.
 
jamani kweli hali mbaya, jana j4 ndugu yangu amelazimika kusukuma gari yake datsun kutoka Makongo mpaka Mwenge kijiweni kwake na hiyo ni licha ya kununua mafuta lita 5 kwa tshs. 17,000 na mbaya zaidi hakuna ambalo serikali inalifanya. sasa ndio naona nguvu ya wafanyabiashara wanaoichangia ccm na viongozi wafanyabiashara. kunahitajika mapinduzi hata ikibidi watu walambwe shaba labda kutakuwa na mabadiliko.
Je upo tayari kuwa wa kwanza kulambwa shaba ili neema ikija tukuingize katika ordha ya mashujaa?
 
Zidumu fikra huru za wananchi huru waliokubali kutoka nje ya boksi. Mafuta kwanza, bila mafuta kilimo kwanza sifuri. Pamoja kwa umoja tuikomboe nchi yetu.
 
Tutoe suluhisho halafu tuchangie mawazo kutoka hilo suluhisho, na sio kuendelea kulalama ama kuorodhesha shida ambazo kila mwananchi tayari anazijua.
Mi naanza na suluhisho:
Kesho saa 12 kamili asubuhi tukutane ubungo mataa.
 
Je kati ya wafanya biashara na serikali utaamini kauli ya nani?
 
Mhindi hahitaji mafuta kwa kuwa anaishi Upanga just a walking distance. Nani alikutuma kuishi Tegete, Kibamba< Mabagal, Pugu, Kigambini n.k. Mkipata nyumba za NHC mnaziuza.

wana parallel supply yao... hata hao wa upanga huwa wanaenda kwenye madanguro yao kawe na msasani
 
Back
Top Bottom