Kwa kweli there is no better way to explain shida za mafuta, umeme, nk.
Upande wa wafanyabiashara, wana hoja na zina mantiki... hasa kuhusu ulaghai!!
Upande wa serikali... tunasikia kujadili, kutoa notice etc.
upande wetu, hali mbaya sana... wapo wanaojifungulia njiani, wanakosa elimu, wanaokosa vipato nk
kinachoniudhi ni jinsi wahindi na waarabu ambavyo hadi sasa hawajaathirika... this just confirm kwamba wana mitandao na serikali zao ndani ya hii nhci na hawaathiriki kwa namna yoyote na janga hili.... THEY HAVE ESTABLISHED THEIR OWN FUEL SUPPLY SYSTEMS
SAD!!
Uzuri ni kuwa vyote viwili waziri ni Ngeleja............ tatizo si la umeme na wala si la uhaba wa mafuta ... NI LA NGELEJA NA JK WAKE........... Si tuja shida ya mafuta yeye kaenda kufuturisha wakristu ambao hata hawajafunga....jana nimesikitika sana sana .... mfanyabiashara mmoja wa samaki kutoka mwanza generator yake iliisha mafuta .... akapata hofu kubwa sana ya kuogopa samaki wake kuharibika kiasi cha kutaka kuwauza hata kwa bei ya chini .... akaanza kulalamika na mjadala ukaanza ...swali la mjadala likawa je ni nani wa kulaumiwa kwa hiki kilichompata huyu mfanyabiashara ..... je ni tatizo la umeme au ni tatizo la uhaba wa mafuta ...?