Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,580
Ktk vyombo mbali mbalimbali vya habari walisikika madalali wakisema eti january ya mwaka huu imekuwa ngumu sana ktk kazi zao tofauti na miaka ya nyuma hii inatokana na ukweli kwamba eti nyumba nyingi walikuwa wanapangishiwa nyumba ndogo/ michepuko!
Kwa kauli hiyo sasa wanaume wanabana matumizi kuendana na hali tete ya kiuchumi, swali ni je mitaani kwenu vyumba vimeshuka bei au nyumba nyingi zipo wazi hazina wapangaji?
Kwa kauli hiyo sasa wanaume wanabana matumizi kuendana na hali tete ya kiuchumi, swali ni je mitaani kwenu vyumba vimeshuka bei au nyumba nyingi zipo wazi hazina wapangaji?