Imenibidi nieleze humu hali mbaya iliyopo Atlas Primary School Madale Dar es Salaam.
1. Mabweni ya wanafunzi hayaisha kujengwa japo watoto wanalala na kuishi humo. Mabweni ni ghorofa lakini hayana milango mashariki na magharibi mwisho mean mabweni hali inayohatarisha maisha ya watoto has a wanao kaa ghorofa ya nne na tatu. Kati ya ma bweni ya wavulana na wasichana Kuna ngazi hazina vizuizi hii ni hatari.
2.Watoto hulazimika kuchota maji chini tanki la nje hadi juu ghorofa ya pili. tatu a nne mara tatu au zaidi kwa siku kwa kuwa hakuna matanki ya juu. Hali hii inawatesa watoto. Maji salama inawabidi kuogea geli badala ya sabuni.
3,Mfumo wa maji taka si mzuri mafuriko hadi karibu ya jengo la utawala hatari kwa afya.
4.Chumba kimoja cha darasa wanafunzi mia hadi mia na hamsini.
Taasisi husika zifuatilie na kutatua matatizo haya tusije juta baadae.