Hali inatisha notes za fedha zinapigwa chata ya No reform no election

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,126
Reaction score
9,593
Hii ni Nini jamani, au ndo civil disobedience, na vijana Sahivi wameapa kuzipiga chata notes za TSH chapa ya no reform no election.
 
Attachments

  • 20250707_093536.jpg
    20250707_093536.jpg
    1 MB · Views: 23
Nakumbuka BOT walikataza kutuza mtu kwenye sherehe kwa kutupa noti chini kama wafanyavyo wanigeria. Sasa hili la kuandika noti ni kosa kubwa zaidi.
 
Wacha tuone watalizungumziaje hili
 
Nakumbuka BOT walikataza kutuza mtu kwenye sherehe kwa kutupa noti chini kama wafanyavyo wanigeria. Sasa hili la kuandika noti ni kosa kubwa zaidi.
Walikataza kwa sheria ipi?
 
Ila watanzania tunasema ni waoga ila nadhani si waoga wana akili.
 
Back
Top Bottom