Kabulala
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 695
- 936
Hello Everyone..
Nilipata bahati ya kutembelea Zimbabwe baada ya kuisikia katika mijadara mingi ya kimataifa (mostly Kwa mabaya).
First impression ilikuwa tofauti na fikira zangu za siku zote. Zimbabwe imejengwa vizuri Sana, madege makubwa, airport ya kisasa na miundombinu ya kutamani.
Nikaingia kitaa nikaanza ku-mingle na vagari(citizens), kwakweli hali ni mbaya mno. Wanaishi kama watoto yatima waliohachiwa hekalu linalodaiwa land rent, electric and water bills na hati ya jumba hilo iko benki kwa mkopo wa mabilioni ya fedha
Hakuna ajira na hawana hata senti ya kununulia mahitaji ya lazima(the experience is unbearable).
Katika kusoma historia na kumfuatilia the late R.Mugabe unaweza kuona kabisa jinsi alivyokuwa anapenda watu wake ndio wafaidike na matunda ya Zimbabwe the gesture was and is still NOBLE but the approach was and still DISASTROUS.
Aliijenga Zim ikawa kama Ulaya kwa every cent kadri alivyoipata ili kuwaaminisha wazim kuwa wanajiweza kwa kila kitu but akasahau kuwa empower wazim ili mambo yote niliyoyataja hapo juu yawe sustainable as the result mambo yakaanza kustuck wazim hawana incomes za uhakika, production iko chini sana,migodi imeanza kuwa caves, shelves hazina chakula, airports ziko empty, sokoni hakuna chakula, na highways ziko traffic free.
Zims ni watu wakarimu Sana na wako very hopeful lakini wana simanzi nyingi Sana mioyoni mwao.
Rai yangu kwa kila mmoja wetu kuanzia family level mpaka huko juu chonde chonde tufanye mambo yatakayoleta tija katika jamii zetu, usikimbilie kujenga mahekalu na kuendesha mavogue na ukasahau kuiwezesha (empower)familia/jamii.
I just hope Zims will turn it around but the rest of us should be aware Zim did not just wake up and find itself in a mess.
It was a process that took many years to perfect. It is always nice and kind to plan for your grandchildren but please show that you also care to your children(they matter now) so that they can happily make your dream a reality. PEACE AND LOVE.
Note: We are a group of people who have different ideas and minds, let's accommodate each other when it comes to discussing issues.
Feel free to peacefully advise differently.