Sikuwa na nia ya kukujibu lakini ningeacha kuku-quote usingeona post yangu. Nakiri sikufahamu lakini siogopi kukuita MUONGO na MZANDIKI.
Uko sahahi kuhusu bei za vyakula na bidhaa za mafuta. Ziko chini kwa sababu ya ukaribu na vyanzo vikuu vya mafuta. Kwa ujumla bei za hapa ziko chini kwa sababu nchi haina mfumo imara wa kulipa kodi. Bidhaa nyingi zinaingizwa kimagendo. Sehemu yoyote yenye bidhaa za magendo - bei ziko chini. Hii ndio nchi inayoongoza kwa kuingiza bidhaa feki kutoka kwa watengenezaji wa bidhaa za hovyo kutoka nchi ambazo sitazitaja hapa!!
Uongo na uzandiki wako uko katika maeneo haya - barabara na umeme. Na kuwa Somalia inaendelea kuliko Tanzania. Nchi isiyokuwa na maji inazalishaje umeme? Wa mafuta au nyuklia? Au umesikia kampuni ya Beco kutoka uturuki yenye majenereta ndio ukadhani ni issue kubwa?? Nchi hii imejaa wazalishaji wa umeme wa jenereta zinazohudumia mtaa mmoja au miwili na mnamlipa mwenye jenereta!! Nchi hii haina barabara za lami kuunganisha states. Njia kuu ya usafirishaji ni kwa njia ya anga. Na kama unasafirisha kwa barabara kwenda mikoani kwenye barabara za vumbi lazima ufanye kipindi cha kiangazi kwa tena kwa kuwalipa alshabab. Hii ni nchi ambayo haina barabara zinazounganisha nchi jirani.
Waambie wasomaji kuwa njia pekee ya mtu kuingia Somalia ni kwa anga tu. Hakuna reli, barabara wala meli kwenda popote nje ya Somalia.
Hospitali. Asilimia 99 ya hospitali ni binafsi. Ndio unalinganisha na Tanzania?? Serikali haina uwezo hata wa kulipa mishahara ya wafanyakazi wake - inawezaje kuwa na hospitali zinazofanya kazi!! Huwezi kusikia maji ya bomba hapa. Chimba kisima chako.
Ninachukulia post yako kama ni maoni ya mtu anayefika sehemu akawa na dhana zisizokuwa na msingi! Akaondoka na impressions zisizokuwa na facts nyuma yake.
Declaration of interests: Nimeishi nchi hii miaka 11 sasa. Nimeishi hata huko kwenye states, sio Mogadishu tu. Na uliyosema hapa ni uongo mtupu!!
Toka lini bei ya mchele na vyakula kuwa chini ndio kuendelea kimaendeleo nadhani umeenda Somalia kama tingo wa lori la IOM lililokuwa linawarudisha wakimbizi wa SomaliaMwezi March nilienda nchini Somalia kikazi chini ya Shirika la Umoja wa Mataifa liitwalo Internation Organization for Migration.
Ili kufupisha maada. Nilichokishuhudia huko nchini Somalia kilinishangaza sana nikilinganisha na hali ya nyumbani Tanzania. Yaani Somalia ukiondoa ile hofu ya Al-Shabaab vitu vingine vyote ni rahisi kuliko nchini kwetu Tanzania.
Mfano, niliuliza gunia la mchele la kilo 100 na bei ilikuwa hela za kitanzania 60,000 kwa mjini mogadishu na miji ya pembezoni bei ilikuwa ya chini zaidi mafuta (petroli ilikuwa Tsh 2500), diesel ni tshiling 2000.na mafuta ya taa ni 1,500.Bei hizi ni za kuanzia mwezi wa 8.2022.
Miundombinu kama barabara, hosipitali na umeme zinajengwa kwa kasi sana nchini Somalia tofauti na Tanzania ambapo ni mwendo wa konokono, pesa ya Somalia ina thamani kubwa dhidi ya pesa ya Tanzania.
Watanzania wenzangu kwa nini tunazidiwa na Somalia kimaendeleo? Yaani nchi ina vita toka 1990 hadi leo lakini ina maendeleo zaidi kuliko Tanzania. Sababu ni nini inayotufanya Watanzania maisha yawe magumu kuliko Somalia?
Wana akili ndiyo maana walichapana na sasa wanaheshimiana,mambo yanaenda.Unadhani Somali Kuna kiongozi anaweza kuamua mambo ya ovyo alafu wakamnyamazia kama sisi Tanzania, viongozi wanakandamiza raia kwa matozo na Kodi za ovyo na tupo kimya.Wangekuwa na akili wasingeuana ww.
Wana akili ndiyo maana walichapana na sasa wanaheshimiana,mambo yanaenda.Unadhani Somali Kuna kiongozi anaweza kuamua mambo ya ovyo alafu wakamnyamazia kama sisi Tanzania, viongozi wanakandamiza raia kwa matozo na Kodi za ovyo na tupo kimya.Wangekuwa na akili wasingeuana ww.
Hiyo akili yao mbona imefanya nchi haitawaliki, Huwezi ukafananisha nchi iliyopata ATM 2014 na Tanzania lazima utakuwa haupo sawa kichwaniWana akili ndiyo maana walichapana na sasa wanaheshimiana,mambo yanaenda.Unadhani Somali Kuna kiongozi anaweza kuamua mambo ya ovyo alafu wakamnyamazia kama sisi Tanzania, viongozi wanakandamiza raia kwa matozo na Kodi za ovyo na tupo kimya.
Wana akili ndiyo maana walichapana na sasa wanaheshimiana,mambo yanaenda.Unadhani Somali Kuna kiongozi anaweza kuamua mambo ya ovyo alafu wakamnyamazia kama sisi Tanzania, viongozi wanakandamiza raia kwa matozo na Kodi za ovyo na tupo kimya.
Umeathiriwa na ujima wa kijamaa kifikra. Open up mkuu. Ndio maana mbondei ukimwambia umwelani kuna fursa anasema mbali haendi huko.Kama ni kuzuri kwanini Kila siku wanakimbia kwao? Umewahi kuona watu wanakimbilia Somalia?
Ukienda Ethiopia si ndo utasema ni mbinguni ila Kila siku Ethiopians wanashikwa kwenye malori hapa.
Grass is always greener on the other side.
Umeathiriwa na ujima wa kijamaa kifikra. Open up mkuu. Ndio maana mbondei ukimwambia umwelani kuna fursa anasema mbali haendi huko.
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Are you serious? Mkuu unasema kweli? Au kulikuwa na maneno mengine ya ziada? Kama ni hii sentensi tu basi itabidi ''hili nalo waende kulitazama''Nimepigwa ban kisa hiyo sentensi.
Sio hawakuwa ni kwamba mpaka sasa hawako tayari kutawaliwa na kundi la Wahuni wapigajiHawakua tayari kutawaliwa na mtu au chama kimoja kwa muda mrefu kama sisi tunavyoburuzwa na CCM.
Kuna Kismayo airport ktk mji wa kismayoMosi nipo nje kwenye ubepari hasa.
Pili, kufananisha TZ na Somalia ni uzwazwa.
Tatu, mara ngapi umekutana na watu toka South Africa kwenye nchi zingine za Africa na wangapi wanakimbilia SA? Ukipata jibu la Hilo swali utajua kwanini wasomali wanakimbia kwao. It's just common sense. Watu hawakimbii maendeleo hata siku moja.
Nne, Somalia Ina GDP ya 4B USD, uchumi wa DSM pekee ni mkubwa kuliko Somalia nzima.
Tano, hakuna miundombinu ya kwenda Somalia zaidi ya Ndege tena airport moja, hayo ndo maendeleo? Airlines zenyewe zinazoenda huko zinahesabika kwenye kiganja kimoja.
I can go on and on.
Mnatetea Somalia ila hamtaki kwenda shit is laughable. Grass is always greener on the other side.
Serious mkuu. Na niliandika hiyo sentensi na ikawa sababu ya ban!! Ushahidi huu chini.Are you serious? Mkuu unasema kweli? Au kulikuwa na maneno mengine ya ziada? Kama ni hii sentensi tu basi itabidi ''hili nalo waende kulitazama''
baadhi ya viwanja vya ndege vinavyo hudumu nchini somalia ni vifuatavyo, japo vipo zaidi ya Kumi...
1. Aden Adde International Airport una patikana katika mji wa Mogadishu
2. Egal International Airport una patikana katika mji wa Hergeisa
3. Berbera Airport Una patitana katika mjiwa Berbera
4. Basaso Airport Una patikana katika mji wa Basaso
5. Galcaio Airport Una patikana katika mji wa Galcaio
6. Beletwene Airport Una patikana katika mji wa Beletwene
7. Burao Airport Una patikana katika mji wa Burao
Kuna Kismayo airport ktk mji wa kismayo
kuna garowe airport ktk mji wa Puntland
kuna guriel airport ktk mji wa galgaduud
kuna adado airport
kuna baidoa aiport
kuna Dhusamareb Airport (Ugas Nur Airport) katika mji wa galgaduud
kuna bandari nyingi zinazo fanya kazi pia...
na wana safirisha sana ngamia/nyama ya ngamia kwenda arabuni na ni moja ya eneo linalo wapatia fedha nyingi za kigeni
pia wana madini ya kila aina kama ilivyo Congo DR labda kasoro Tanzanite tu... na ndio sababu inayo semekana waarab, mmarekani na mchina wanapigana kikumbo hapo somalia sbabu ya mali zilizopo somalia...
mchina ana ubalozi ambao upo active pale somalia... na wana toa support kwa maendeleo yao somali, muingereza nae anatumia taasisi mbalimbali za UK kusiadia somali...
mmarekani amebaki kuipigia hesabu kubwa sana somalia kwa manufaa binafsi kupitia taasisi mbliambali pia...
wasomali wenyewe nao hawapo mbali kuisaidia somali hasa jamii yao ya wasomali kwa hali na mali... kama ilivyo kwa wazanzibar, nazani ni kwasababu jamii nyingi za pwani wamezoea kuishi pamoja tofauti na jamii za bara,hivyo ni rahisi mzanzibar kama ilivyo kwa msomali kuamisha ndugu zake wote wajumuike pamoja kuliko kwa mbara ambaye anataka yeye jina lake liimbwe pekee katika familia yake...