Hali ilivyo Dodoma Wakati huu.

Muhongo ninependa huo ukaaji hakika umeua
 
Hao sita waliokaa (watano kwenye viti na mmoja sakafuni lakini ameegemea ukuta)wanaashiria kuwa tayari tano bora imeshapatikana, halafu Jaji Ramadhani mgombea mwenza. Wakifika Mkutano mkuu Bilal "anakatwa" kwa kuwa ni Mzenji,pamoja na wengine watatu (WN,Prof, na Mtoto wa mkulima) halafu BCM anapeperusha bendera. ENL kaweka mkono shavuni ameshajua matokeo!!!
 
Tafadhali mkuu tofautisha waliolala, waliokaa na waliosimama.
 
Wataota jua sana nyerere square
 

Attachments

  • 1436530674190.jpg
    25.7 KB · Views: 1,200
Hasa nikimcheki jamaa yangu wa kupishanisha vifungo vya koti.
 
mkulima mbona hatumuoni au yy alitumwa kugeresha kwamba wana demokrasia?
 

nimependa uchambuz wako na hvyo ndivyo itakavyokuwa.
 
hao wamama km wamefiwa na mume wao ivi.polen sana mama zangu japo nyie ni msfisad tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…