Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,949 Reaction score 74,431 Jul 10, 2015 #1 Msanii huyu katoa picha halisi ya hali ilivyo Dodoma wakati huu.
MeinKempf JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 11,092 Reaction score 7,235 Jul 10, 2015 #2 Ahahaaa...
K KIBINGILA Member Joined Jun 25, 2015 Posts 26 Reaction score 8 Jul 10, 2015 #3 Kwa kweli wanatia Huruma kama vile wapo ICU
mkupuo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,842 Reaction score 2,135 Jul 10, 2015 #4 Daaa! mlango ukifunguka hapo halafu Nape atoke nje kwenda kununua vocha ya simu tu nadhani kuna wajumbe watazimia kwa kihoro!
Daaa! mlango ukifunguka hapo halafu Nape atoke nje kwenda kununua vocha ya simu tu nadhani kuna wajumbe watazimia kwa kihoro!
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 11,880 Reaction score 18,168 Jul 10, 2015 #5 Mimi nimeona ma-MPs wengi wa JWTZ maeneo ya White House na katika makutano mbalimbali ya barabara kuelekea mkumbi mpya wa mikutano wa CCM!
Mimi nimeona ma-MPs wengi wa JWTZ maeneo ya White House na katika makutano mbalimbali ya barabara kuelekea mkumbi mpya wa mikutano wa CCM!
H honoget JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 1,713 Reaction score 374 Jul 10, 2015 #7 Chakaza said: Msanii huyu katoa picha halisi ya hali ilivyo Dodoma wakati huu. View attachment 266986 Click to expand... hawa mafisadi watauana mwaka huu
Chakaza said: Msanii huyu katoa picha halisi ya hali ilivyo Dodoma wakati huu. View attachment 266986 Click to expand... hawa mafisadi watauana mwaka huu
K Kapahi Senior Member Joined Jan 25, 2015 Posts 121 Reaction score 20 Jul 10, 2015 #8 kaazi kwelikweli
jay y Member Joined Jun 4, 2015 Posts 25 Reaction score 12 Jul 10, 2015 #9 Fanya vurugu Dodoma uone watu wanataka cheo
Mkoroshokigoli JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 14,593 Reaction score 5,583 Jul 10, 2015 #10 Chakaza said: Msanii huyu katoa picha halisi ya hali ilivyo Dodoma wakati huu. View attachment 266986 Click to expand... Cheki waziri wa Keylimo alivyofunga vishkizo vyake
Chakaza said: Msanii huyu katoa picha halisi ya hali ilivyo Dodoma wakati huu. View attachment 266986 Click to expand... Cheki waziri wa Keylimo alivyofunga vishkizo vyake
Bramo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 13,230 Reaction score 10,201 Jul 10, 2015 #11 Ileje said: Mimi nimeona ma-MPs wengi wa JWTZ maeneo ya White House na katika makutano mbalimbali ya barabara kuelekea mkumbi mpya wa mikutano wa CCM! Click to expand... JWTZ wako standby
Ileje said: Mimi nimeona ma-MPs wengi wa JWTZ maeneo ya White House na katika makutano mbalimbali ya barabara kuelekea mkumbi mpya wa mikutano wa CCM! Click to expand... JWTZ wako standby
victor moshi JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 829 Reaction score 1,064 Jul 10, 2015 #12 Haha nimependa hilo pozi la mzee wa escrow kama vilee kaambiwaa hakuna chenji mzeeee
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,248 Jul 10, 2015 #13 Kati ya zote katuni bora kabisa kwangu ni ile ya Mangula akiwapima ha!ha!
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,477 Reaction score 45,050 Jul 10, 2015 #14 Bramo said: JWTZ wako standby Click to expand... acha utani wewe, si kazi ya JWTZ kulinda mikusanyiko ya raia.
Bramo said: JWTZ wako standby Click to expand... acha utani wewe, si kazi ya JWTZ kulinda mikusanyiko ya raia.
justus ndyanabo JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 444 Reaction score 379 Jul 10, 2015 #15 majizi yamesubiri hukumu kutoka kwa majizi yaliyotangulia
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,477 Reaction score 45,050 Jul 10, 2015 #16 MeinKempf said: Ahahaaa... Click to expand... Tysoni kaka yangu, nani alikushauri ukachukue form zao???
MeinKempf said: Ahahaaa... Click to expand... Tysoni kaka yangu, nani alikushauri ukachukue form zao???
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 21,854 Reaction score 27,025 Jul 10, 2015 #17 Ileje said: Mimi nimeona ma-MPs wengi wa JWTZ maeneo ya White House na katika makutano mbalimbali ya barabara kuelekea mkumbi mpya wa mikutano wa CCM! Click to expand... Maandalizi ya kukatwa mtu hayo!
Ileje said: Mimi nimeona ma-MPs wengi wa JWTZ maeneo ya White House na katika makutano mbalimbali ya barabara kuelekea mkumbi mpya wa mikutano wa CCM! Click to expand... Maandalizi ya kukatwa mtu hayo!
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 21,854 Reaction score 27,025 Jul 10, 2015 #18 mkupuo said: Daaa! mlango ukifunguka hapo halafu Nape atoke nje kwenda kununua vocha ya simu tu nadhani kuna wajumbe watazimia kwa kihoro! Click to expand... Daah, nimecheka sana. Maana kuna wengine watatimua mbio kabisaa!
mkupuo said: Daaa! mlango ukifunguka hapo halafu Nape atoke nje kwenda kununua vocha ya simu tu nadhani kuna wajumbe watazimia kwa kihoro! Click to expand... Daah, nimecheka sana. Maana kuna wengine watatimua mbio kabisaa!
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,348 Reaction score 9,083 Jul 10, 2015 #19 Mkoroshokigoli said: Cheki waziri wa Keylimo alivyofunga vishkizo vyake Click to expand... Teh teh teh...
Mkoroshokigoli said: Cheki waziri wa Keylimo alivyofunga vishkizo vyake Click to expand... Teh teh teh...
Mtanzanika JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,389 Reaction score 1,131 Jul 10, 2015 #20 MeinKempf said: Ahahaaa... Click to expand... Huyu MHISHIMIWA aliyelala ni nani hasa? Hali yake ni mbaya sana kwa kweli.
MeinKempf said: Ahahaaa... Click to expand... Huyu MHISHIMIWA aliyelala ni nani hasa? Hali yake ni mbaya sana kwa kweli.