Wamesaidia kwa kupiga picha ili wewe uzione na upate moyo wa huruma ya kusaidia. Wengine roho zenu ngumu maelezo matupu huwa hayatoshi, mpaka muone picha ndo mnasituka
Majasiri sana hawa....wenzangu na mimi tukipanda boti tu kwenda zenji huwa tabu kwa jinsi inavyoyumba seuze kukaa kwenye hayo magodoro! Mungu mkubwa...kama sio siku haijafika, haijafika tu!
Hivi kwa nini vyombo vya majini visafiri usiku? ingekuwa mchana wasingekufa wengi kiasi hiki hata mtu mwenyewe kwa juhudi zako ukiona wapi uelekeee wawezapona nafiri tubadirike!!!!