mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 25,067
- 82,044
Mimi nakushauri; waambie kwamba hupendi kuongea sana. Kama huezi badilika. Hakuna namnaWeacha tu mkuu ndo walivyo
Mimi nakushauri; waambie kwamba hupendi kuongea sana. Kama huezi badilika. Hakuna namnaWeacha tu mkuu ndo walivyo
Hakuna Convo za wapenzi ambayo hutakosa neno 'niambie' hapa Duniani ila kibaya mmoja kuwa yeye wakilamala wa kisema 'niambie' tu yeye hawi Content creator anataka kuanzishiwa mada tuIna maana ya kuongea yameisha mpaka mtumie neno "nambie"? [emoji16][emoji16][emoji16] seriously!!! Mbona kwangu haijawahi kutokea.
Wewe unaona ulivyo ni sawa??Sawa mkuu but kuna kiongoz kasema hapo ninaenda kupata depression
Ila wewe [emoji119][emoji119]Kwa uandishi huu hakuna atakae maliza kusoma,unaandika kama unatoa talaka
Basi jibadilishe[emoji23]Hapana mkuu ndomana nahsi hii sio hali ya kawaida
Hakuna Convo za wapenzi ambayo hutakosa neno 'niambie' hapa Duniani ila kibaya mmoja kuwa yeye wakilamala wa kisema 'niambie' tu yeye hawi Content creator anataka kuanzishiwa mada tu
Mkuu,hyo hali nliipitia kuanzia secondary,chuo na hata kazini kabla sijanotice ni tatizo.Sio sana but mi huwa sio muongeaji sana
Sijamaliza kusoma ila nishakuelewa upo kama mimi tena nimekuzidi mimi nikishatoka nyumbani kwenda hazini huko makambini hua nasahau kama kuna watu naofahamiana nao huko nyuma lbda kuwe na shida au chochote ila kujikuta napiga sim et nasalimia hua najisahau ila mke wangu analijua hilo wala halimuumizi kichwa ila sasa kuna hawa wengine wanaona kama upo kimya umewatenga kumbe wala mimi nimeweka ratiba kila j pili napigia watu wote naowajua kuwasalimu.
Hii niliweka sababu malalamiko yalikua mengi na nikatuhumiwa kua na dharau maana hata sms hua sijibu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
hamna namna😂[emoji23][emoji23] mkuu sawa ila is not easy
Hamna.. Kuna character za watu zinajiexpres hivyo. Huyu yupo kama mm tu. Ukinitafuta tafuta kunisalimia kila muda nafuta na namba yako kabisaKuna siku itafika utawahitaji wa0 kwa maelez0 marefu basi na0 hawatakuwa na huo muda kusikiliza maelez0 yak0 marefu...
Nadhani unajivisent vinakuchanganya ndi0 mana mnataka ku0ngea dili tu...
Skia kaka...Acha kujiendekeza Maisha hayataki iv0 wala usilias...
Hii tabia ni miendekez0 tu hakuna anaezaliwa iv0....
Mkuu,hyo hali nliipitia kuanzia secondary,chuo na hata kazini kabla sijanotice ni tatizo.
Nilikuwa natawaliwa na Aibu,uoga wa kuongea na watu ama kujumuika na watu pia hasira za haraka kwa mambo madogo.
Hayo mambo yakaniletea Depression+Anxiety nikiwa kazini.
Nilidumu nayo kwa mwaka mmoja,ndipo nkapata namna ya kutoka. It was not easy.
Yeah,ukikosolewa unajikuta unakuwa Defensive,yaan huezi kukubali kabisa..hapo mapigo ya moyo yanaenda mbio kinoma 😁Mkuu nisaidie ninakoelekea ni pabaya yaan ulivyokuwa navyo ndo ninavyo mimi alafu kingine sipendi lawama yaaina yoyote ile yaan hapo ndo nakuwa mbogo