Hali hii sidhani kama ni kawaida kwangu

Hali hii sidhani kama ni kawaida kwangu

kuna hili nakutana nalo sana eti 'nikienda kwa mwanaume mwingine utanipigania??'

ila hili ndo lilinischosha sana 'ningekua malaya ungenilipa shingapi??' [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] kweli hayo maswali yanaboa aisee. Ina maana haamini upendo wako au?.
 
Back
Top Bottom