Hali hii sidhani kama ni kawaida kwangu

Hali hii sidhani kama ni kawaida kwangu

Aisee mwanamke wako namuonea huruma [emoji1][emoji1][emoji1]. Kama yeye anapenda mawasiliano ya Kila siku, basi kwake ni maumivu mazito. Badilika, sio poa kabisa.
 
Habar wana JF,

Natumaini mko salama wote mungu anaendelea kutupigania Niende kwenye point japo sio muandishi mzuri sana ila ndo hivyo mnisamehe tu ndugu zangu.

Wakuu nina hali ambayo nahisi sio ya kawaida japo sina uwakika, kiukweli kwanza nina hali ya kutojali mimi nakujali ni tofauti lakini kwangu najihisi comfortable sana lakini hali hii inaemuumiza sana ni mwanamke wangu sababu ninaweza kaa siku nzima bila kumcheki na nikaona ni kwaida tu lakini sio tu mwanamke wangu hii hali mpaks kwa familia yangu.

Kaka yangu mkubwa alishaongea na mimi kuhusu hii hali lakini wapi akaamua kunyamaza lakin sio kwamba nafanya kusudi Hapana yaani ndo nilivyo, mimi sipendi kuongea ila nachati. Mimi nikikupigia simu jua kuna deal au kitu chochote kuhususiana na kazi basi zaidi ya hapo simu yangu huwa ni ngumu sana kuita kwa watu ndugu ndo kabsa.

Na mtu kunipigia simu kila wakati aisee sipendi Daah nachukia sana mtu kunipigia kila mara hata mwanamke wangu akinipigia simu ninaweza kujifikiria sana kupokea au nisipokee kabisa sababu najua hamalizi kuongea na mimi sipendi kuongea, yaani kiufupi sipendi mtu kunijali sana nachukia then naboeka sipendi mtu kunitafuta kila muda.

Wakuu kubembeleza mi ndo kulinipitia kushoto hii hali ndo shida sana mi sijuiagi kumbembeleza mtu na ndo nilivyo ukiunganisha na kutokujali ndo balaa, wakuu hii hali pia kama ina solution mnipatie maana kuna wakati nahiso siko sawa kutokana na hizi hali japokuwa ndo nakuwa na amani zaidi bado nawaza ni mimi tu au kunawatu pia wana hali kama yangu?
Inaweza kuwa malezi uliyo pitia, kama walikuwa Hawa kujali ndio masns uko hvyo.
 
Aisee mwanamke wako namuonea huruma [emoji1][emoji1][emoji1]. Kama yeye anapenda mawasiliano ya Kila siku, basi kwake ni maumivu mazito. Badilika, sio poa kabisa.

Analalamika sana ila huwa najitahid sana kumueka sana lakin bado
 
Mbaka leo upo hivyo mkuu
Ee. Mkuu wanaume hatunaga mambo ya kujadili mtu. Sasa unampigia sim unamjulia hali halafu mnaendelea kuongea nn. Ingekua ni mke pengingine tungekua na cha kuongelea labda watoto, ujenzi, shida za home. Sasa yote hayo hakuna tunajadili nn.

Ndio hapo alikua anaanzosha stori za kunyanduana tu. Sasa unakuta ni asubuhi ndio mnaingia kwenye majukumu na stori za kunyanduana wap nawap
 
Sasa nyie wanawake.....[emoji23]

Unapigwa simu afu unasema 'haya nambie'[emoji23] wakati we ndo umepiga...

Mkuu yaan ndo kama unamjua huyo mwanamke akipiga salama then utaskia Niambie na mimi ndo sipendi kuongea natumia ujanja najifanya kuna kitu nakifanya namwambia ntakucheki baadae kidogo ndo imetoka hio mkuu
 
Ee. Mkuu wanaume hatunaga mambo ya kujadili mtu. Sasa unampigia sim unamjulia hali halafu mnaendelea kuongea nn. Ingekua ni mke pengingine tungekua na cha kuongelea labda watoto, ujenzi, shida za home. Sasa yote hayo hakuna tunajadili nn.

Ndio hapo alikua anaanzosha stori za kunyanduana tu. Sasa unakuta ni asubuhi ndio mnaingia kwenye majukumu na stori za kunyanduana wap nawap

[emoji23][emoji23] kweli mkuu ni sahihi
 
Ina maana ya kuongea yameisha mpaka mtumie neno "nambie"? [emoji16][emoji16][emoji16] seriously!!! Mbona kwangu haijawahi kutokea.
Yaani uongee na mwanamke kwenye simu afu awe anachangia mada??[emoji23] Sanasana mnauliza maswali ya ajabuajabu tu.....
 
Ina maana ya kuongea yameisha mpaka mtumie neno "nambie"? [emoji16][emoji16][emoji16] seriously!!! Mbona kwangu haijawahi kutokea.

Muda bado dear itafika tu utakuja kuniambia
 
Back
Top Bottom