Hali hii sidhani kama ni kawaida kwangu

Hali hii sidhani kama ni kawaida kwangu

Habar wana JF,

Natumaini mko salama wote mungu anaendelea kutupigania Niende kwenye point japo sio muandishi mzuri sana ila ndo hivyo mnisamehe tu ndugu zangu.

Wakuu nina hali ambayo nahisi sio ya kawaida japo sina uwakika, kiukweli kwanza nina hali ya kutojali mimi nakujali ni tofauti lakini kwangu najihisi comfortable sana lakini hali hii inaemuumiza sana ni mwanamke wangu sababu ninaweza kaa siku nzima bila kumcheki na nikaona ni kwaida tu lakini sio tu mwanamke wangu hii hali mpaks kwa familia yangu.

Kaka yangu mkubwa alishaongea na mimi kuhusu hii hali lakini wapi akaamua kunyamaza lakin sio kwamba nafanya kusudi Hapana yaani ndo nilivyo, mimi sipendi kuongea ila nachati. Mimi nikikupigia simu jua kuna deal au kitu chochote kuhususiana na kazi basi zaidi ya hapo simu yangu huwa ni ngumu sana kuita kwa watu ndugu ndo kabsa.

Na mtu kunipigia simu kila wakati aisee sipendi Daah nachukia sana mtu kunipigia kila mara hata mwanamke wangu akinipigia simu ninaweza kujifikiria sana kupokea au nisipokee kabisa sababu najua hamalizi kuongea na mimi sipendi kuongea, yaani kiufupi sipendi mtu kunijali sana nachukia then naboeka sipendi mtu kunitafuta kila muda.

Wakuu kubembeleza mi ndo kulinipitia kushoto hii hali ndo shida sana mi sijuiagi kumbembeleza mtu na ndo nilivyo ukiunganisha na kutokujali ndo balaa, wakuu hii hali pia kama ina solution mnipatie maana kuna wakati nahiso siko sawa kutokana na hizi hali japokuwa ndo nakuwa na amani zaidi bado nawaza ni mimi tu au kunawatu pia wana hali kama yangu?
Kawaida sana kwa wanaume. Mm nilikua kila siku nagombana na mwanamke kisa mawasiliano. Asubuhi nikimcheki tena kwa kujilazimisha ndio imetoka hio. Akawa ana maindi. Hata nikimpigia sim salam zikiisha sina stori zingine. Ni kawaida buda
 
Mbaka leo upo hivyo mkuu
 
Habar wana JF,

Natumaini mko salama wote mungu anaendelea kutupigania Niende kwenye point japo sio muandishi mzuri sana ila ndo hivyo mnisamehe tu ndugu zangu.

Wakuu nina hali ambayo nahisi sio ya kawaida japo sina uwakika, kiukweli kwanza nina hali ya kutojali mimi nakujali ni tofauti lakini kwangu najihisi comfortable sana lakini hali hii inaemuumiza sana ni mwanamke wangu sababu ninaweza kaa siku nzima bila kumcheki na nikaona ni kwaida tu lakini sio tu mwanamke wangu hii hali mpaks kwa familia yangu.

Kaka yangu mkubwa alishaongea na mimi kuhusu hii hali lakini wapi akaamua kunyamaza lakin sio kwamba nafanya kusudi Hapana yaani ndo nilivyo, mimi sipendi kuongea ila nachati. Mimi nikikupigia simu jua kuna deal au kitu chochote kuhususiana na kazi basi zaidi ya hapo simu yangu huwa ni ngumu sana kuita kwa watu ndugu ndo kabsa.

Na mtu kunipigia simu kila wakati aisee sipendi Daah nachukia sana mtu kunipigia kila mara hata mwanamke wangu akinipigia simu ninaweza kujifikiria sana kupokea au nisipokee kabisa sababu najua hamalizi kuongea na mimi sipendi kuongea, yaani kiufupi sipendi mtu kunijali sana nachukia then naboeka sipendi mtu kunitafuta kila muda.

Wakuu kubembeleza mi ndo kulinipitia kushoto hii hali ndo shida sana mi sijuiagi kumbembeleza mtu na ndo nilivyo ukiunganisha na kutokujali ndo balaa, wakuu hii hali pia kama ina solution mnipatie maana kuna wakati nahiso siko sawa kutokana na hizi hali japokuwa ndo nakuwa na amani zaidi bado nawaza ni mimi tu au kunawatu pia wana hali kama yangu?
Nina tatizo Kama lako. Ndugu wameshaanza kunizoea..na Mimi marafiki wengi sipokei simu zao kwasababu sitaki kuongea. Kwa ufipi Mimi Nina mawasiliano hafifu Sana..nafikiri nilipata tatizo fulani kwenye kukua..
Magroup ya WhatsApp yota nilijitoa kwasababu siwezi kuchangia Kama wengine..Mimi Ni msomaji tu wakati wengine naona wanachangia mada kwa furaha..
 
Watu kama wewe mko wengi, ila jamii inakulazimisheni muwe tofauti.

Jaribu kufikia suluhu.

Mfano, kama watu wanapenda kukupigia simu, na wewe hupendi kuongea sana, pokea simu zao, salimiana nao, halafu waoneshe hupendi mazungumzo marefu.

Hapo inakuwa wao wamekusikia, na wewe hujaongea nao kwa muda mrefu.

Kuna watu wakianza kuongea kwenye simu wanaongea masaa mawili na zaidi, halafu hakuna chochote cha maana.
Hao watu kikweli hata mimi wananiboa sana, anapiga simu akitegemea wewe ndo uwe muongeaji mkuu.
 
Nina tatizo Kama lako. Ndugu wameshaanza kunizoea..na Mimi marafiki wengi sipokei simu zao kwasababu sitaki kuongea. Kwa ufipi Mimi Nina mawasiliano hafifu Sana..nafikiri nilipata tatizo fulani kwenye kukua..
Magroup ya WhatsApp yota nilijitoa kwasababu siwezi kuchangia Kama wengine..Mimi Ni msomaji tu wakati wengine naona wanachangia mada kwa furaha..

Daah pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom