Mabadiliko yanaanza hapa!! lets say NO!!!Hawana hata aibu wamekalia kupigana vikumbo vya kuchukua na kurudisha fomu,hivi kwa nn lakini?Ina maana uzalendo wa viongozi wetu uko chini kiasi hicho?Imefikia wakati sasa tuseme NO kwa viongozi hawa wenye uchu wa madaraka na ulafi ulioambatana na ufahari wa familia zao.
Tanzania let us say no to the old new system of governing toka kwa wakijani.
Thanks Fidel for a nice posting!
Mabadiliko yanaanza hapa!! lets say NO!!!
Jiulize sherehe za kukabidhi formu muheshimiwa zimegharimu sh. ngapi?