hali halisi

hali halisi

Dr.Chichi

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2008
Posts
2,393
Reaction score
639
hosp.jpghosp.jpg
hapa daktari amesha discharge zaidi ya nusu ya wodi na bado pana congestion.mnaosupport serikali unajisikiajemkeo,dada yako au rafiki yako akikaa kwenye mazingira haya?
 
Daaah! Inasikitisha vile serikali yetu wala haioni kama ni tatizo. Jumapili nilimtembelea rafiki mount meru hosptal wodi ya wazazi( wazazi wapya na vichanga vyao) wamelala wa3 kitanda kimoja!
 
Dah waliosababisha Mungu awalaani kabisa
 
Back
Top Bottom