Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,992
- 168,528
Ningependa kujua maneno yaliyozungumzwa na kipanya hapo juu yanaonekana kama yamefutwa!hebu tupe Picha halisi
ni kama vile kimevimbiwa na rushwa pamoja na matatizo mengine.Chama chetu kina bonge la kitambi
CCM si ndio wamiliki wa msitu wa Mabwe Pande?Kwa katuni hii Naogopa yasije yakamkuta KP kama yaliolikuta gazeti la MWANA HALISI