Olemandalo
Senior Member
- Dec 7, 2012
- 117
- 12
Hichi chama kinaelekea kaburini, CCM oyeeeee!!!!!!!!
Mbona mnapiga ngoma na kucheza wenyewe?CHADEMA kamwe haiwezi kufa kwa propaganda,inaweza kufa kwa kushindwa kutekeleza ahadi ilizowaahidi wananchi!Hichi chama kinaelekea kaburini, CCM oyeeeee!!!!!!!!
Baada ya mkakati mzito uliopangwa na ccm wilaya ya simanjiro, hali imewaendea vibaya makamanda wa chadema Wilayani hapa huku kukiwa na taarifa za uhakika ya makamanda hawa kufanya ufisadi wa kutisha. wakati makamanda wakitafutana kwa polisi sisi tunatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi, juzi tulikutana na wapiga kura vijana wa simanjiro wanaofanya biashara ya madini ya Tanzanite, tumewapa mikopo yenye garama nafuu ili waweze kujikwamua kiuchumi,
UFISADI WA CHADEMA
kamanda mmoja wa chadema anayejulikana kwa jina Oleleshwa anatafutwa na rafiki yake wa karibu sana Millya kwa kutoroka na hela za ujenzi wa ofisi ya chadema wilayani hapa, kamanda Oleleshwa anatuhumiwa kukimbia na hizo hela baada ya kuona cdm inakufa akaamuua kujiponyesha angalau na hizo millioni nane hali ya makamanda wengine ni tete kamanda mmoja anaitwa Gidion Sanago wametandikana ngumi leo na Olemillya mpaka millya sasa yuko hosipitali; tumeanza kuwarudisha vijana wetu waliopotea njia kurudi nyumbani tobiko ccm. tobiko sendeka.
Mkuu kwani watu ambao ni ndugu lazima wawe na mtazamo mmoja?je wakiwa na mitazamo inayotofautiana,undugu wao huwa unakufa?Nyinyi ambao mpo CCM wote ni ndugu?achana na hoja dhaifu katika wakati huu ambao tunapaswa tuwe serious.tuendelee kudumisha amani yetu na udugu
Pita salama,wasalimie uendako!!Napita...:flock:
Mbona mnapiga ngoma na kucheza wenyewe?CHADEMA kamwe haiwezi kufa kwa propaganda,inaweza kufa kwa kushindwa kutekeleza ahadi ilizowaahidi wananchi!
Mkuu umemaliza kila kitu,hongera sana kwa uchambuzi wako yakinifu!JAMANI WANACHADEMA WALA MSITETELEKE, CCM NI WAPUMBAFU KUPITA KIASI, WANATUMIA ELA NYING SANA KTK MAGAZETI, MITANDAO NK ATI KUICHAFUA CHADEMA, IVI AFRIKA II KUNA CHAMA FISADI KM CCM? WAMESHINDWA KUJIBU KASHFA ZOTE ZA EPA, PEMBE ZA TEMBO, UTOROSHAJ WA WANYAMA NA WAMEGEUKIA CDM, WHY NOT CUF OR NCCR etc? JIBU NI KUWA CHADEMA NI THREAT KWAO, TUSITETELEKE MAGAMBA WATWAMBIE KISA CHA KUMPA UKATIBU MKUU JANGILI KINANA PIA M/MWENYEKITI FISADI MKUU WA EPA MANGULA, ATA MSEKWA ALISHIRIKI UTOROSHAJI WA WANYAMA, RIDHIWAN MUUZA UNGA, WAYAJIB AYA NDO TUTAWAAMINI, WALA HATUKATI TAMAA MWOKOZ WETU NI CHADEMA TU
Olemandalo; Pol Pot
Naona Ole Sendeka amewapa kitu kidogo cha kufungia mwaka,poleni sana watumwa wajinga wa mafisadi! Na kwa mwenendo wenu humu nina imani mtatoweka jamvini kwa aibu zenu!
Waone walivyo na akili baridi hawa watumwa!
Baada ya mkakati mzito uliopangwa na ccm wilaya ya simanjiro, hali imewaendea vibaya makamanda wa chadema Wilayani hapa huku kukiwa na taarifa za uhakika ya makamanda hawa kufanya ufisadi wa kutisha. wakati makamanda wakitafutana kwa polisi sisi tunatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi, juzi tulikutana na wapiga kura vijana wa simanjiro wanaofanya biashara ya madini ya Tanzanite, tumewapa mikopo yenye garama nafuu ili waweze kujikwamua kiuchumi,
UFISADI WA CHADEMA
kamanda mmoja wa chadema anayejulikana kwa jina Oleleshwa anatafutwa na rafiki yake wa karibu sana Millya kwa kutoroka na hela za ujenzi wa ofisi ya chadema wilayani hapa, kamanda Oleleshwa anatuhumiwa kukimbia na hizo hela baada ya kuona cdm inakufa akaamuua kujiponyesha angalau na hizo millioni nane hali ya makamanda wengine ni tete kamanda mmoja anaitwa Gidion Sanago wametandikana ngumi leo na Olemillya mpaka millya sasa yuko hosipitali; tumeanza kuwarudisha vijana wetu waliopotea njia kurudi nyumbani tobiko ccm. tobiko sendeka.
Pita tu na unafiki wako.Napita...:flock:
Napita...:flock: