Hali bado tete jijini Mbeya

Eti Safisha jiji,waanze kusafisha mahospitalini kwanya,maword hayatamaniki!merde
 
Sugu tangaza vita. Kaka zako kina Mwandosya na Mwakyembe wanapigania uhai India. wewe ndiyo Mustafa Adil Jalil wa Tanzani.
 
Bila serikali ya CCM kutambua kwamba inawajibika kwetu sisi wananchi na SI watawala wetu , hali kama hii itaendelea sehemu nyingi TZ.
 

Mkuu huyo mtu anamatatizo kama avatar yake uwezi kushindana naye hata kwa hoja.
 
Watu wa mbeya tafadhali tunasubiri constant flow ya updates.
 
Yaani kumbe serikali ya CCM ni dhaifu kiasi hiki, fujo ndogo tu na wamachinga wanaletwa mpaka wanajeshi??????? Duh! yaani hii ni bonge ya clue kwamba wananchi wakiamua kuing'oa CCM is just a matter of weeks. Nashangaa sana kwa nini hawa jamaa wanashindwa kuelewa kwamba mabavu si suluhisho!
 
Mda huu wanatangaza kuwa ondokeni barabarani hawataki kuona mtu.
 
Majimbo yanayaoongozwa na chadema ni vurugu tu, uzalishaji umesimama! Halafu tunalalamika tanzania masikin!

acheni kuingiza siasa katika masuala haya - hasa hili la mbeya. mkifanya hivyo mtaendelea kulea tatizo. hapa hili ni tatizo lililolelewa kwa miaka mingi. watu wasitake njia za mkato mkato. mabomu jana, mabonu leo - yataendelea hadi lini. ifike mahala viongozi watumie busara katika kuweka suluhu. hata mtoto kiboko cha kila siku humfanya awe sugu
 
Majimbo yanayaoongozwa na chadema ni vurugu tu, uzalishaji umesimama! Halafu tunalalamika tanzania masikin!
Nawasiwasi na elimu yako, ni kwamba wanachodai ni kwamba kwel waliambiwa wahame hapa, lakn serikali haikuwaonyesha maeneo ya kwenda, so waende wap?

Wakati hao watu ndo maisha yao yanaenda kwa biashara hiyo, so usiwe unakurupuka tu jaribu kufikiri kwamba c wote wanaajira rasmi kama wewe, so unapochangia jaribu kukumbuka ulipotoka usikute mama yako alikuwa anauza maandazi kweny sufuria lakni hakufanyiwa hvyo ndo maana leo unamaisha mazuri au una kazi, so tukumbuke tulipotoka
 

umeanza kuwa na akili.itabidi nikujumulishe kwenye list ya marafiki wangu wa jf.mia
 

Usibishane na Rejao,check kwanza hata avatar yake!pua tu inaonyesha jinsi akili yake ilivyo!
 
Jaman ivi nchi hi hakuna viongozi mana tangu jana sijamsikia kiongoz yeyeto mkubwa serikalini japo hata kutoa tamko?yuko wapi wazili anayehusika na ajira naye talifa hajapata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…