Hali bado tete jijini Mbeya

Hali bado tete jijini Mbeya

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
567
Reaction score
55
Ndugu zangu nasikia bado vurugu zinaendelea tena huko mbeya.tafathali mwenye talifa zaidi atujuze.

KWA MSAADA WA EMT wa JF:

Mkuu wa Mkoa Abas Kandoro akiwa na waandishi wa habari muda mfupi uliopita wakijadili swala la Mgogoro na wamachinga
1kituo.jpg

Bara bara zimefungwa maeneo ya Mama John muda huu

2.jpg

Waandishi wa habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa kutokana na Sakata Hili la wamachinga

3.jpg

Wanachi wa Mbeya wakiwa wanashangilia tuu wakati waandishi wanaendelea na kikao na Mkuu wa mkoa

4.jpg
 
jamani huku sasa ni vita wakati najiandaa kwenda ofisini mana nipo kikazi huku ttcl kutoka hotelini mabomu yanapigwa sio mchezo watu wamejifungia kazi imeanza upya huu mgogoro utaweka historia ktk hii nchi naona magari ya matangazo yanapita kutangazia watu kwamba mapambano yasitishwe watu wakae mezani hali ni mbaya hivi hapa nafanya maarifa nitafte gari linalokuja dar nirud hata kazi cwez fanya vzur
 
Kwanza tunashukuru kwa taarifa, na karibu sana JF.

Naomba wenyeji watu update kama kawaida.
Je vidaladala vinapiga routes? Vipi mwamko wa watu kwa maana ya idadi waliojitokeza kwenye mapambano?
 
Sugu yupo njiani kuelekea huko,nadhani anaweza kwenda kutuliza huu mtafaruku.
 
Tupe habari mchambuzixx,jikaze mkuu utoke uone uhalisia wa mambo hapo mbeya kisha utujuze,kwani bado tatizo ni nini?
 
Kwanza tunashukuru kwa taarifa, na karibu sana JF.

Naomba wenyeji watu update kama kawaida.
Je vidaladala vinapiga routes? Vipi mwamko wa watu kwa maana ya idadi waliojitokeza kwenye mapambano?
mbona unambagua mwenzako,taarifa ni taarifa tu hata kama amejiunga juzi,mbona we pia ni mgeni
 
Siku wananchi wakichoka na kuamua kuanzisha vita na polisi patakuwa hapatoshi
 
Hili nililiona, jana wenzao wameuwawa kwa risasi unategemea leo wangelala tu?
Hakuna kiongozi hata mmoja aleamua kutoa taarifa na kuuomba umma wa Mbeya japo msamaha, lazima warudi njiani tena
 
Waliishiwa nadhani wale wa Iringa waliwapelekea mengine, maana jana niliondoka Mbeya kuelekea Makambako nikakutana na FFU kwenye diffender mbili watakuwa walikuwa nayo. Jamani Mbeya ni Bagdad.
 
Kandoro kukurupuka kwake kama mwanza sasa yanamtokea puani. Vijana wa mbeya sio wa kutisha bila kuwapa mbinu mbadala ktk kipato chao. Nadhani hapo wangemuomba mbunge wao Mh: Sugu aongee na wapiga kura wake. Wasitumie nguvu kubwa bila sababu kwani sio wtz wote wa kutishwa na police na mabomu.
 
mbona unambagua mwenzako,taarifa ni taarifa tu hata kama amejiunga juzi,mbona we pia ni mgeni

Sina sababu ya kumbagua mwenzangu. Huyu ndugu yetu ni mgeni mbeya na hapo anatoa taarifa akiwa hotelini. Ingawa sipo mbeya ila mji ule naufahamu kutoka ttcl ambapo ameenda kikazi(na nahisi hata hotel aliyofikia itakuwa maeneo hayo) hadi mafyati na mwanjelwa kuna kaumbali kidogo. Nilichomaanisha ni kwamba wenyeji walioko mitaani na maeneo yaliyokuwa na ghasia jana watuhabarishe kianchoendelea.

I'm very sorry for that mkuu.
 
Back
Top Bottom