Hali bado tete CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Mwenyewe umeziita Tetesi,sasa Mbona mwishoni unapiga kampeni kuwataka watu wahame toka CDM. Kweli kwa hizo tetesi zako ndio unawataka wataka mabadiliko na wana CDM wasione haya kuondoka CDM au kujiunga na vyama vingine? Duuuuh, Kweli wewe "Great Thinker" nimekukubali
 
Katika masuala kama hayo lazima kuwe na mikinzano ya mawazo ili kupima uzito wa hoja, Mimi nadhani kuna haja kubwa ya kuangalia tofauti za vyama kwa sababu kila chama malengo yake na wala si muungano Mbowe akitaka amalize chama aruhusu tu muungano huo kwa kuchukua mawaziri vivuli kutoka vyama vingine kwani matakwa ya chama moja na jingine ni tofauti, Kama kweli mnataka kuungana kaeni chini mjadili lakini si kwa kutafuta mawaziri mtakuwa nje na matakwa ya chama.
 
 
Mwanaripota book 7 huyu!!!! Kama ni ripota wa ukweli weka jina lako katika habari!!! Acha kupika majungu yasiyokuhusu hata kidogo. Mtu asipoitaja CDM kichwa kinauma!!!! Kweli CDM inakimbiza kila kona. Kazi ndiyo imeanza.
 
Husipotoshe watu hapa, huyo siku hizi si mzalendo bali ni msaliti.
 
Wenye akili tumekuwelewa vizuri kuwa wewe ni nani na unalengo gani, umebugi men, tafuta mwanamume mwaminifu akuoe hiyo kazi yako ya sasa utapata maambukizi mapya sister.
 
Vp kuhusu mawaziri mizigo mzee naona wameongezwa mawaziri viloba
 
Unacho ona kama tatizo ndio kitu kinacho takiwa kufanyika ktk democrasia iliyo komaa... tutakuwa wachanga hata lini??
 
Mwanachama wa ukoo wa panya kutoka chama chakavu kilichozeeka, hawezi kuzungumzia habari ya maana tofauti na haya asemayo!!!! Anakiwango cha elimu ya DIV5 au DIV6 na hata DIV7.
Ni sawa na mtu anyetaka kubeba maji kwenye gunia, yatammwagia yote na kumlowesha kabaisa!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…