Hali bado tete bei ya sukari

Mtoto wa kiume hapaswi kulalamika kama mwanamke
wanawake mi nawapenda kweli afu nawaheshimu maana nikiwa na stress nikipewa nachopewaga na mwanamke wangu basi tena sukari hata iuzwe 10,000 kilo nitanunua.
 
Suala la sukari lishashindikana,pia bei ikipanda huwa ni ngumu sana kushusha other wise supply of Goods iongezeke mara dufu
 
huku makambako, njombe bei ni sh2500 kwa 1kg.
 
Uko nchi ipi kijana ? sukari kilo ni Tshs 2,200 jana nimenunua dukani. Na hata nenda supermarkets mbali mbali haizidi bei ya Tshs 2,200/=. Au wataka sukari ipi upewe ?
Usije ukadhani Tanzania nzima ni Dar!!!!?
 
Ni wapi ilitamkwa kuwa sukari itagawiwa bure Tanzania nzima?? Ni nani alisema hivyo??!!! Mbona mnaleta mnasambaza propaganda zisizo na maana???
Alcema ktk moja ya mikutano yake kuw atakae kutwa na sukar kaificha ghalan/nyumban kwake hyo sukar atanyang'anywa na kugaiwa wananch buree,,,,, xaxa wangap walkutwa nazo afu cha maana hakuna,, punguza mzuka dogo!
 
Uko nchi ipi kijana ? sukari kilo ni Tshs 2,200 jana nimenunua dukani. Na hata nenda supermarkets mbali mbali haizidi bei ya Tshs 2,200/=. Au wataka sukari ipi upewe ?
Xaxa hyo ndo bei elekez?
 
Mkuu hapo kwa mama kemia umenikumbusha mbali,umenikumbusha Yale Ma GT aisee!
 
Umepigwa mkubwa, hakuna bei hyo tz, hususani dar
..
Think
 
Alcema ktk moja ya mikutano yake kuw atakae kutwa na sukar kaificha ghalan/nyumban kwake hyo sukar atanyang'anywa na kugaiwa wananch buree,,,,, xaxa wangap walkutwa nazo afu cha maana hakuna,, punguza mzuka dogo!

Duh, hii JF kuna watu wa ajabu...Ulichoandika hapa ni tofauti kabisa na yule aliyesema kuwa kuna mtu au kiongozi aliyetamka kuwa sukari itagawiwa bure kwa watanzania...hizi ni kauli mbili tofauti .....Kwa baadhi yetu inafika wakati mtu unaanza kujiuliza kama ni sahihi kuanza kubishana au kujadiliana na watu wa aina hii ambao hawawezi kutofautisha kauli hizi mbili...
 
Tumeambiwa kuwa na sukari ya kutosha LABDA 2020, kwa sasa hata ukiipata kwa shilingi 10,000/= shukuru maana ni bidhaa adimu, kwa kauli ya waziri mkuu"tujitosheleze kwa SUKARI ifikapo 2020. Sukari tu hatuna uhakika halafu tunashangili kila kauli ya mkuu aliikuta 2,000/= kitilia neno tu imefika 6,000/= Tuendelee kusoma namba ya bei.
 
huku makambako, njombe bei ni sh2500 kwa 1kg.

Inategemea ntu na ntu Mkuu.Mimi mwenye nahitaji sana kwa hio bei ya 2200/= Nitanunua walau kilo kumi maana kwa bei hii ambayo haieleweki leo inapanda kesho inashuka lazima tuwe na huu utamu wa kutosha ndani.

Uko nchi ipi kijana ? sukari kilo ni Tshs 2,200 jana nimenunua dukani. Na hata nenda supermarkets mbali mbali haizidi bei ya Tshs 2,200/=. Au wataka sukari ipi upewe ?

Hapa nilpo inauzwa 2,600. Ni Dar hii hii.
 
Acha unafiki mfalme alituambia...tena mkaja huku mkifurahi alisema sukari atakayo kamata itagawiwa bure...au unamasikio tenge nn ??

Nyie vijana au watu (maana sijui umri wako) mna matatizo makubwa mno kuhusu uelewa wa issues....mnachukulia mambo kijuuujuu...mnafanya dhihaka kwa kila kitu...hamtulii ili muweze kuelewa mambo...mnakurupuka...mnatanguliza itikadi, siasa na ushabiki mbele...hamtaki kuelewa...ni wabishi...mnamdhihaki Rais...mnamlisha maneno Rais....mnafanya utani na taasisi ya Urais...hamjielewi... Sasa, nakwambia kwamba Rais Magufuli hakuwahi kusema sukari itagawiwa bure kwa Watanzania...alichosema na ambacho wewe umekiri katika andiko lako hili ni kuwa alisema sukari itakayokamatwa IMEFICHWA itagawiwa bure... Na hili limefanyika kuna sukari ilikamatwa huko mikoa ya kusini kati ya Mtwara na Lindi sukari hiyo ilikuwa imefichwa na iligawiwa bure kwenye vyombo vya dola...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…