Hali BADO MBAYA Bongo, nini kifanyike?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
178264_523553611005487_1281404205_o.jpg
 
Hii ni changamoto kubwa, pale Benjamin Mkapa building pia hawa watoto wapo wengi, naamini wahusika wanawaona ila sijajua nini kinafanyika kwa ajili ya hao watoto.
 
hivi kweli wakuu wanaona haya au hawapiti mitaa hii? kwanini serikali haiweki shelter house za kusaidia kwani kazi ndio haiezi kutoa
Hebu safari hii sherehe za CCM wasifanye na pesa yake wasaidie familia kama hizi kueza jisaidia
kila leo eti tunaambiwa kilimo kwanza lakini huyo mkulima ana nini cha kumuezesha kuishi kama walivyo watu wa mjini?
hakuna shule
hakuna matibabu
hakuna barabara
wanakopwa mazao yao
halafu eti bakieni vijijini ndio tatizo wanakuja mjini sina hata la kusema
 
.........kila leo eti tunaambiwa [COLOR=#ff0000 said:
kilimo kwanza [/COLOR]lakini huyo mkulima ana nini cha kumuezesha kuishi kama walivyo watu wa mjini?.....
.....halafu eti bakieni vijijini ndio tatizo wanakuja mjini sina hata la kusema

Mwalimu mmoja aliwahi uliza swali "Kwa nini Kilimo Tanzania kiko nyuma????" Mwanafunzi wake akajibu "Kwa sababu Kilimo ni uti wa mgongo, na uti wa mgongo lazima uwe nyuma"
 
Huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu wa hali ya juu... Mungu atusaidie Watanzania tupate viongozi watakaojali maslahi ya Watanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom