Jenga yako halafu ukaiuze kwa bei rahisi uone joto ya jiwe............. SIWEZI KUGHARIMIA UJENZI KWA 100 MILIONI HALAFU NIKUUZIE CHINI YA HAPO NOOOOOOOOOOO.....................Miaka kumi iliyopita nyumba zimepanda bei bila ya kiasi hasa kwenye miji mikubwa kama vile Dar. Ni kweli sababu kubwa ya tatizo la uchumi ninaloendea duniani limeanzia kwenye mijengo kupanda bei mno katika miji mbali mbali duniani . Afadhali kwa sasa miji mingi bei zimepoa kidogo na zinaendea kupungua lakini Bongo imegoma. Kwa kawaida waTz hununua nyumba kwa cash hivyo kuifanya hadithi yetu kuwa tofauti. Hata hivyo kila kinachokwenda juu inabidi kirudi chini. Kwa vyovyote vile bei ya mijengo inabidi ishuke au itulie hapo hapo kwa miaka kadhaa ijayo. Je hii ni ndoto yangu ya mchana au yuko anayefahamu mwelekeo wa hili soko la nyumba bongo?
¬K
Hili si jibu ya mjadala hapo juu. Hoja imekaa kitaalam zaidi kwa hiyo haihitaji majibu ya ovyo. Kimsingi bei za nyumba zinaendelea kuwa kubwa kutokana na ufinyu wa miundo mbinu. Kila mtu anapenda aishi sehem ambazo huduma za msingi zinapatikana kwa urahisi, km ni biashara basi kuna potential customers ila kubwa zaidi ni serikali yenyewe kuwa na ukiritimba katika ugawaji ardhi na usimamizi wa mpangilio wa mji.Jenga yako halafu ukaiuze kwa bei rahisi uone joto ya jiwe............. SIWEZI KUGHARIMIA UJENZI KWA 100 MILIONI HALAFU NIKUUZIE CHINI YA HAPO NOOOOOOOOOOO.....................
haswaaa we umenenaMkuu hizo ni dua za kishetani
Mkuu hizo ni dua za kishetani
🙂 Najua mkuu! I was just pulling the guy's leg...it's just one of those days
Kaandika halbadiri, ni neno la kiarabu, kwa maandishi haya ya kirumi linaandikwa "al-badir"
Halafu kichwa chake cha habari hakiendani na hoja aliyoandika. Ingawa kaandika jambo la maana tu.
Miaka kumi iliyopita nyumba zimepanda bei bila ya kiasi hasa kwenye miji mikubwa kama vile Dar. Ni kweli sababu kubwa ya tatizo la uchumi ninaloendea duniani limeanzia kwenye mijengo kupanda bei mno katika miji mbali mbali duniani . Afadhali kwa sasa miji mingi bei zimepoa kidogo na zinaendea kupungua lakini Bongo imegoma. Kwa kawaida waTz hununua nyumba kwa cash hivyo kuifanya hadithi yetu kuwa tofauti. Hata hivyo kila kinachokwenda juu inabidi kirudi chini. Kwa vyovyote vile bei ya mijengo inabidi ishuke au itulie hapo hapo kwa miaka kadhaa ijayo. Je hii ni ndoto yangu ya mchana au yuko anayefahamu mwelekeo wa hili soko la nyumba bongo?
¬K
Hilo nalo neno. Cha msingi hapo ni huduma za kimsingi zinasababisha demand ya nyumba kupanda katika sehem ambazo huduma hizo zinapatikana kuliko sehem ambazo hazipati huduma hizo za msingi kama maji, barabara nzuri, umeme n.k.Hili si jibu ya mjadala hapo juu. Hoja imekaa kitaalam zaidi kwa hiyo haihitaji majibu ya ovyo. Kimsingi bei za nyumba zinaendelea kuwa kubwa kutokana na ufinyu wa miundo mbinu. Kila mtu anapenda aishi sehem ambazo huduma za msingi zinapatikana kwa urahisi, km ni biashara basi kuna potential customers ila kubwa zaidi ni serikali yenyewe kuwa na ukiritimba katika ugawaji ardhi na usimamizi wa mpangilio wa mji.