Halafu utamsikia demu akisema baby mimi sili wali maharage au ugali ,nimezoe burger,chips kuku

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,471
4,424
Wakati tokea akiwa mdogo alikuwa anafakamia maharagwe na makande




 
Hahahah kumbe hata huyo kuzi wa facebook nae anapiga kitu cha "DONER" samaki na mchicha!

Ole wenu niwaskie mndaudiss ugali tena..!!!
 
Sasa hao wanakula kwa kupenda tu wanaweza kula chochote wanachotaka (hata wakitaka nyama ya mtu hawatashindwa kuipata) Sasa sie kina mwajuma ndala ndefu siku saba za wiki ni ugali/ wali ndondo...kwenye mtoko pia unilishe wali ndondo inahusu wakati hiyo ndo chance pekee nimeipata ya kubadili diet

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanakula siku moja tu. Tena huenda hata hawakumaliza unataka umfosi mtu afakamie kitu asichokipenda daily.?!!
 
Lazima tujibebishe siku za kwanza, mkituoa na kutuweka ndani hayo maharage na makande ndiyo mdundo wa maisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…