Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
Hawa watu hawajifunzi na Matamko yao Uchwara!!
Walipiga marufuku uagizwaji wa Sukari- Bei ya sukari ikapanda kutoka 1800-2800/3000
Walipiga marufuku wafanyabiashara kununua korosho- Sasa biashara ya korosho huko kusini ni kizungumkuti na wananchi hawataki kusikia
Walipiga marufuku wakulima wa mahindi kuuza mahindi nje- Bei ya mahindi ikashuka vibaya na wakulima wakawa masikini
Wakapiga marufuku wakulima wa tumbaku kuuza kwa wafanyabiashara Eti wauze kwa nyama vya ushirika- Bei ikashuka vibaya na wakulima kuumia
Sasa wamekuja wanasema vijana wajiajili, wanajiajili kuanzisha makampuni na wanakuja na haya matamko 👇