Halafu tuichague tena CCM 2020? thubutu!

Nani wakuipigia kura hivi ilivyoleta umasikini huko vijijini thubutu yako mwaka huu dunia itashangaa kitakachotokea Tanzania sisi wengine tuko huku vijijini wananchi wamechoka mno na hiyo CCM
Uzuri tunafarijiana huku kwenye mitandao njoo huku vijijini habari ni magufuri tu lakini huku na wapiga kura wapo huku vijijini
 
Mimi niipigie kura CCM ? Mwenyezi Mungu hajanipa akili za kuchezea kiasi hicho.
 
Uzuri tunafarijiana huku kwenye mitandao njoo huku vijijini habari ni magufuri tu lakini huku na wapiga kura wapo huku vijijini
Vijiji vya wapi?? Mtwara au Songwe?? Au Mbeya??? Au Katavi?? Au Kagera?? Au Mara????
 
Ccm bado itashinda kwa kishindo subilini October mbwebwe zitaisha hizo

Rekebisha hapo usije wakakutambua ni MJUMMBE..sema subirini sio subilini. Ni hayo tu mengine sawa tu kwa mtazamo wako.
 
Ccm lazime ishinde mwaka huu maana wakulima wakorosho wapo waliolipwa, bei ya mahindi imepanda, wakulima wanapanga bei zao wanazotaka bila kuingiliwa na serikali.....vituo vya afya vimejengwa..mabarabara ndio usiseme.....wapo wengi tuu waliofaidika katika serikali ya awamu ya tano....watampigia magufuli kura ya ndio.
 
Mambo ya anabu Sana haya, vijana wetu wamemaliza chuo, hakuna Ajra wameamua kujitafutia kipato kwa kuboresha mipango miji alafu ccm inawazuia?
 
Ndugu yangu CCM ni mashetani. Sio binadamu hawa watu
 
Ccm lazime ishinde mwaka huu maana wakulima wakorosho wapo waliolipwa, bei ya mahindi imepanda, wakulima wanapanga bei zao wanazotaka bila kuingiliwa na serikali.....vituo vya afya vimejengwa..mabarabara ndio usiseme.....wapo wengi tuu waliofaidika katika serikali ya awamu ya tano....watampigia magufuli kura ya ndio.
Endeleeni kujifariji. Imepanda wapi??? Mnajifanya mnakumbuka Shuma asubuhi??? Nenda LINDI na Ruvuma, katavi , Rukwa alafu zungumza hayo kama haujapopolewa??
 
Back
Top Bottom