Bongo kila mtu siku hizi ni mtabiri,
Kila mtu anaangalia mambo kwa jicho la tatu,
Kila mtu ni mchambuzi wa kila kitu,
Kila mtu anajua mwenzake anatakiwaje kutimiza majukumu yake kwa ufasaha ila yeye mwenyewe hatimizi majukumu yake kwa ufasaha au hajui hata hayo majukumu yake anatakiwa ayatimizaje,
Kila mtu ni mkosoaji wa kila kitu,
Kila mtu anamlalamikia mwenzake!
Safari ni ndefu sana.