Hakyanani naenda kwa mganga

Hakyanani naenda kwa mganga

hiyo pesa ya kumlipa mganga kwa nini usimpe muhusika au utumie kumnunulia zawadi? hivi unadhani mwanamke anavuwa chupi tu hovyo kama anaenda msalani?

ndio kama anakwenda MSALANI
 
Last edited by a moderator:
Utambiwa na mganga ulete yai la jogoo ....tatizo jogoo anataga mara moja kila miaka mitatu....utaweza?
 
Mimi sio mshirikina lakini kwa hili nitakua mshirikina Mungu nisamehe. Kwa nini? nimekutongoza umekataa, nimekudanganya vya kutosha ili unikubali lakini wapi! sasa siwez kukubali nikukose mtoto mzuri kiasi hicho, sasa nafanya plan B, mpaka nikupate tu, hakya ya nan lazima niende kwa mganga, siwez kushndwa kirahis namna hiyo

tumia pesa hapooo
 
mbona uganga unao mkuu ... mtoto wa kike anabembelezwa si ukioniona tu unarusha ndoano hapo unaweza nikosa kwa asilimia mia... ila ukinitoa out ukajua napenda nini ukawa unanifanyia mbona hapo waweza pata moyo wa huyo bibie.... kwa mimi pesa yango ndio ndumba yako
 
Siwezi kutamani namna hio.
jini mahaba hilo,Tulia tu utampata wa saizi yako huyo ni maji marefu hata ukimpata ataondoka tu.
 
Hata kama ni mzuri ka malaika lucifer, Usiende kwa mganga. Penzi la ushirikina likiharibika; nalo huharibikia pabaya, litakuharibu ubongo.
Kuwa king'ang'anizi mpaka akuchukie aseme; namwojesha tu. Utampata. Naona wengine wamekushauri utumie wallet, hapana. Siku hizi, wallet haihusiki na mapenzi ya rohoni. Weye umempenda kwa dhati, ya nini ujitie kichaa atapokuja mwenye dau zaidi. Mwendee kavu kavu mpaka akasirike atende bila akili. Akiamka, umeshammaliza.
 
Mleta mada huko shule Kigoma sekondari unakwenda lini na namba ya simu ya Mkuu wa Shule umepata ?
 
Mleta mada huko shule Kigoma sekondari unakwenda lini na namba ya simu ya Mkuu wa Shule umepata ?

hahahaha mkuu si kila anaeomba namba ni mwanafunzi, mimi nilishamaliza level hiyo kitambo sana, sema kuna mdogo angu kachaguliwa huko ndo nataka nifanye mawasiliano ili niweke mambo sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom