Hakuwahi kupewa sumu

Hakuwahi kupewa sumu

Kwa hiyo britanicca alitudanganya?
FB_IMG_1759003742079.jpg
 
Mpango, mzee wa watu acha ajipumzikie, hata hakuwa na habari ya wanamtandao. Siku ile ameteuliwa kuwa makamu, katika kuongea akaanza kukaripia akidhani ni zama za Magufuli, alipotulizwa tuu, akajikalia kimya.
nakumbuka hilo, kuna mstaafu ni rafiki yake aliwahi kusema baada ya lile karipio hakuwahi kuwa sawa maana ni kama alijua wana mtafutia sababu.
 
Back
Top Bottom