Hakuwa na makuu.

alikuwa ni kiongozi kweli,na si mtawala. nadhani baiskeli hiyo ni aina ya SWALA. Jamani tanzania....
 
Msubiri mkuu arudi kutoka brazil umuonyesha, labda anaweza kukumbuka kitu, atakuja na ndege pekee iliyobaki serikal ya tanzania.
 
Unaweza kulia aisee, aliozania wamekomaa kutusimamia wamemgeuka. Hujafa Haujaumbika, ni nani alithubutu kumsaliti huyu mzee enzi za uhai wake, kumsaliti kwa kutapanya mali ya uma. nani?
 
Msubiri mkuu arudi kutoka brazil umuonyesha, labda anaweza kukumbuka kitu, atakuja na ndege pekee iliyobaki serikal ya tanzania.

Hivi nayo ile ya serikali eeh! Mi nikidhani ya kwake mwenyewe kanunua kwa hela zake za TWIGA
 
Angalia picha hii number 1! Na picha number 2!
1:
nyerere_bao_butiama.jpg

2:
Bartlett%252520with%252520Jakaya%252520Mrisho%252520Kikwete%252520and%252520wife%252520at%252520Mystic%252520Mountain.jpg
 
Mwalimu alikuwa anacheza bao na majirani zake hapo hapo kutoka kwao anaelezwa anayojiri mitaani; huyu mkweree yeye kazi yake kusafiri na kwenda kuangalia kilimo cha nyanya ambazo tunalima sana wilaya ya Kilolo; kwanini haendi kuangalia na kujifunza huko kama anataka kuwafundisha wakweree wenzie jinsi ya kulima nyanya huko Msoga!!
 
Rais wenu kweli kichwa cha nazi...mimi hata sina rais......nasubiri rais wa ahadi yangu Dr. wa Ukwel...
 
Angalia picha hii number 1! Na picha number 2!
1:
nyerere_bao_butiama.jpg

2:
Bartlett%252520with%252520Jakaya%252520Mrisho%252520Kikwete%252520and%252520wife%252520at%252520Mystic%252520Mountain.jpg

Hahaha hahahaaaa, hiyo picha ya 2 hao watanzania wawili walipokuwa watoto hawakupata nafasi ya kucheza michezo ya kubembea. Sasa wanaona nishai kwenda kubembea kwenye playing grounds zilizopo hapa Dar wakaona wakabembelee mbali tusiwaone.
 
Back
Top Bottom