Hakuwa makini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuwa makini

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ngoshwe, Oct 16, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kulikuwa na watu watano wanasafiri kwa ndege, ghafla wakiwa katikati ya safar ndege ikaaza kuleta matatizo na kwenye ndege kulikuwa na parachuti nne tu:

  Wa kwanza akasema ;.. Mim ni Hillary Clinton wa Marekani, waote mnaijua Marekani, na Dunia nzima wananitegemea hivyo, siwez kufa katika hii ajali, lazima nipone, akachukua parachuti akaruka nayo nje.

  Mtu wa pili;..Mie ni michael jordan ni mwanamichezo maarufu na dunia inanitegemea so ni lazima nipone ktk ajali kachukua parachuti akaruka..

  Wa tatu: Mie ni Rais wa Tanzania, ncghi yenye mali nyingie, hata watu wa Ulaya wanaililia sana, mimi ni mtu mahiri na MAKINI SANA watu wangu na Afrika nzima wananitegemea sana katika kuwaletea maendeleo," ..akachukua (...) na na kutoka kupitia mlango wa dharura kuruka.

  Kuhamaki Kwenye ndege wakawa wamebaki Papa (Baba Mtakatifu) na mtoto mdogo wa shule na parachuti lipo moja, Baba mtakatifu anasema kwa upole;..Mwanangu mie ni mzee na umri wa kufa umefika we chukua parachuti ruka niache nifanye ibada ya mwisho, nife kwa amani Kale katoto kakaenda kwenye parachuti kwa unyonge, huku kakimtizama baba mtakatifu.

  Hamadi katoto kakarudi kwa baba mtakatifu na kumwambia, "Baba kumbe yapo maparachuti mawili?? ...inaonekana yule aliyeruka mwisho Rais wa Tanzania aliyesema yeye ni mtu makini na mahiri lakini alichukua begi langu la shule badala ya kuchukua parachuti, akaruka na begi,sina hakika kama yu Rais makini".
   
 2. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,317
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ahaa umeirudia ukai-translate kwa kiswahili.
   
 3. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Unafurahia kujiita mjinga?
   
 4. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  daily nakutana na haya mambo kama sio kumtukana raisi kwa maneno basi kwa picha.
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mjinga ni rais wake na sio yeye mtiZ
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hii yote ni kwa 7bu ya kumchoka rais na serikali yake legelege ilopo achukuwe hatua thabiti yakujivua gamba
   
Loading...