HAKUTAKUA na Cha Maridhiano, Wahuni Wakubwa msokua na Haya !! Maridhiano, Mzee Kibao ameuwa Kikatili, Mdude, Soka, Polepole, hawajulikani walipo

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Yaan Njia mlioichagua ndio njia yenu, na sisi tutakwenda hivohivo na nyinyi.

Ukweli ni kwamba ni Ama Tuwafikishe katika Sheria au Mtuue wote mtumalize !!.

Na sio upuuzi na upumbavu wenu ulokoswa Aibu na kudhani mnatuhadaa.

Yaan Familia ya Kibao ,Iridhiane na nyinyi kitu gan??

Familia ya Mdude Iridhiane nanyi nn??

Familia Soka, ??.

Familia ya Polepole Iridhiane nanyinyi nini??.

Fikiria, wee Abdul unauliwa mtoto wako, au Samia Unauliwa Abdul,, Utaridhiana na Muuaji wako ???

Almanusura Fr Kitima, Mnalibagaza Kanisa, alafu Maridhiano yaan kwamba Mmpe Pesa Kitima ya Pole kama mnavyofanya?? Au Mlipe Kanisa Mabilioni ya Pesa kama mnavyofanyaga kwamba wasahau Matendo yenu??.

Kwamba Mridhiane na CHADEMA ,CHADEMA hii hii ya LISSU huyu mlomfumga Jela Kwa makesi ya Kipuuzi? CHADEMA hii ambayo Mmeteka wafuasi wake ,mmewaua, wengine mmewafanya Mateka Hadi Leo??.

WANANCHI SIO WAJINGA.

Jiandaeni tu, najua nanyie hili mnalifaham, Ni Ama Zenu, Ama Zetu.

Oktoba 29, tutaelewana !!.
 
Mnauwa watoto wa miaka 18, hata Kwa kuwaza tu bila akili, tuseme mkaongoza Nchi miaka 20 mingine.

Hatimaye Akipatikana Rais wa HAKI.

Akawaachia Hawa mnaoendelea kuwafunga Jela, je mtoto wa miaka 18, siatatoka na miaka 38, miaka 38 ,siangejitafuta na kua MTU Mkubwa ?.

Mnaua MTU kabisa, mnamfuta kwenye Historia ya UHAI wa Mungu, utadhan mnauhakika mtaendelea kushika Serikali Kwa miaka 70 ijayo??.

MAKOSA HAYA MAKUBWA MLOYAFANYA , YATAWAGHARIMU NYINYI NA FAMILIA ZENU NA VIZAZI VYENU MPAKA KIZAZI CHA NNE .
 
I prophecise. Baada ya uchaguzi Samia ataihama ccm na kwenda upinzani ambako ataungana na Lisu kumpinga rais atakechukua kijiti.
Mimi naenda na ule ushauri wa Mzee Kikwete unaosema za kuambiwa changanya na zako Mbayuwayu.
 
Binadam tunajisahau sana tuwe tunapata mda wa kutembelea vituo vya watoto yatima na mahosptalin labda itasaidia hao wanao toa roho za watu kujua umuhim wa mtu...maaana huko kuna watu wanalia wanatamani hata angekuwepo mama wengine wanawapambania wagonjwa kwa gharama kubwa sana ila ww unakuja kutoa roho ya mtu kisa madaraka😖😖
 
Mi nimejipanga siku ya kupiga kura nita piga matuta shambani kwangu nasubiria mvua ikishuka tuu natobolea mihogoooo
 
Yaan Njia mlioichagua ndio njia yenu, na sisi tutakwenda hivohivo na nyinyi.

Ukweli ni kwamba ni Ama Tuwafikishe katika Sheria au Mtuue wote mtumalize !!.

Na sio upuuzi na upumbavu wenu ulokoswa Aibu na kudhani mnatuhadaa.

Yaan Familia ya Kibao ,Iridhiane na nyinyi kitu gan??

Familia ya Mdude Iridhiane nanyi nn??

Familia Soka, ??.

Familia ya Polepole Iridhiane nanyinyi nini??.

Fikiria, wee Abdul unauliwa mtoto wako, au Samia Unauliwa Abdul,, Utaridhiana na Muuaji wako ???

Almanusura Fr Kitima, Mnalibagaza Kanisa, alafu Maridhiano yaan kwamba Mmpe Pesa Kitima ya Pole kama mnavyofanya?? Au Mlipe Kanisa Mabilioni ya Pesa kama mnavyofanyaga kwamba wasahau Matendo yenu??.

Kwamba Mridhiane na CHADEMA ,CHADEMA hii hii ya LISSU huyu mlomfumga Jela Kwa makesi ya Kipuuzi? CHADEMA hii ambayo Mmeteka wafuasi wake ,mmewaua, wengine mmewafanya Mateka Hadi Leo??.

WANANCHI SIO WAJINGA.

Jiandaeni tu, najua nanyie hili mnalifaham, Ni Ama Zenu, Ama Zetu.

Oktoba 29, tutaelewana !!.
1761133364653.jpg
 
Swali ni je,
Huyo Rais mwanamke atatawala kwa muda Gani?
1)miaka mitatu aliyotawala baada ya kifo Cha Magufuli?

2)Miaka mitano kuanzia 2025 baada ya uchaguzi wenye utata?

3) Akimaliza miaka mitano ya uchaguzi wenye utata atapata miaka mitano mingine kama Utamaduni wa Marais wa CCM ulivyo ndipo upinzani utachukua madaraka?

Hapa sijajua utabiri ya Marehemu Shehe Yahaya umejikita wapi kulingana na point zangu Tatu hapo juu.
Nifafanulie mtaalam
 
Yaan Njia mlioichagua ndio njia yenu, na sisi tutakwenda hivohivo na nyinyi.

Ukweli ni kwamba ni Ama Tuwafikishe katika Sheria au Mtuue wote mtumalize !!.

Na sio upuuzi na upumbavu wenu ulokoswa Aibu na kudhani mnatuhadaa.

Yaan Familia ya Kibao ,Iridhiane na nyinyi kitu gan??

Familia ya Mdude Iridhiane nanyi nn??

Familia Soka, ??.

Familia ya Polepole Iridhiane nanyinyi nini??.

Fikiria, wee Abdul unauliwa mtoto wako, au Samia Unauliwa Abdul,, Utaridhiana na Muuaji wako ???

Almanusura Fr Kitima, Mnalibagaza Kanisa, alafu Maridhiano yaan kwamba Mmpe Pesa Kitima ya Pole kama mnavyofanya?? Au Mlipe Kanisa Mabilioni ya Pesa kama mnavyofanyaga kwamba wasahau Matendo yenu??.

Kwamba Mridhiane na CHADEMA ,CHADEMA hii hii ya LISSU huyu mlomfumga Jela Kwa makesi ya Kipuuzi? CHADEMA hii ambayo Mmeteka wafuasi wake ,mmewaua, wengine mmewafanya Mateka Hadi Leo??.

WANANCHI SIO WAJINGA.

Jiandaeni tu, najua nanyie hili mnalifaham, Ni Ama Zenu, Ama Zetu.

Oktoba 29, tutaelewana !!.
War is just when it is necessary; arms are permissible when there is no hope except in arms.
 
Back
Top Bottom