Sikwepeshi
Senior Member
- Jan 26, 2012
- 162
- 18
Hellow jf members,nilikuwa nasimuliwa muda mrefu khs jf na umuhimu wake nikaanza kupitia threads mbalimbali kwa kutumia login za my friend kwa kweli hakunaga naamini tutashare mengi zaid na pia nitapata ushauri wa matatizo mbalimbali yanayonikabiri.shukran kwa waanzilishi wa jf na members wote.
Ni kweli hakunaga lakini JF imetokeaga, mpaka umekuvutiaga na wewe ukajiungaga basi unakalibishwaga.
Ni kweli hakunaga lakini JF imetokeaga, mpaka umekuvutiaga na wewe ukajiungaga basi unakalibishwaga.