Hakuna website ya kisasa kama ya chuo kikuu cha UDOM

Hakuna website ya kisasa kama ya chuo kikuu cha UDOM

Kiukweli Udom wamejitahdi sana ktk kuwa na website nzuri na makini mimi sijui sana hii university yote ila nawapongeza sana college of informatics haswa wahandisi wenzangu Wa Telecommunication and Computer na appreciate sana product za informatics graduates haswa tunapokutana sites
 
college yangu nawakubali sana niletembelea website yao kwa kweli iko vizuri
 
Ili tukubaliana na wewe tupe japo sifa au vigezo 5 ulivyovitumia kupima na useme umepima website za vyuo vingapi?
Ungeweka top 10.
 
Salamu ndugu,

Taaluma yangu ni IT kwa kweli wanafunzi wa UDOM wanafanya vizuri sana na wengine tumeona wakiunda mitandao ya kijamii. Ni kweli elimu inayotolewa pale ni bora kabisa Tanzania hii na hilo hakuna ubishi kwani level ya mafanikio ya kitu fulani hupimwa kwa output yake, nawapongeza zana UDOM na uongozi mzima katika college ya informatics wanahitaji pongezi, hakika wanafanya vizuri mno.

Leo nikasema embu nitembelee website yao daaaa yani nimeona kitu cha kitofauti sana, ubora wa hali ya juu na mpangilio wa kisasa kabisa na kila college imeandaliwa vizuri tuu na maelezo tosha. Vyuo vingine vinapaswa kujianda na kuweka malengo bara ili watoe elimu bora na wakufunzi wazuri ili wafanye kazi kwa ufanisi wa hali ya juu.

Well arranged work, layout and easy to deal with for beginners. haina tatizo lolote hata kama huna uelewa na hayo mambo we unasonga vyema tuu.
Again congratulation to you students and lecturer's for the nice work you did/giving.
Kwani hiyo web ametengeza mwanafunzi??
 
Unapima ubora wa chuo kwa uzuri wa website, halafu wewe wajiita mwana IT!!!! Kwa hiyo IT ni kutengeneza websites?!!! Kweli taaluma zinavamiwa.
Kuna watu kama huyo jamaa huwa wanatia kinyaa.
 
Sioni chochote special kuhusu hiyo website, labda unaongelea nyingine ila sio udom.ac.tz, au kuna features zilizojificha ambazo wanafunzi mnaziona wengine haturuhusiwi kuingia? Zaidi ya hapo hiyo website ni nyepesi tu inatengenezeka bila challenges zozote.
 
Kwa kifupi Ubora wa website huwa tunaupima kwa mambo makuu ma tano

1. Appearance
2. Content
3. Functionality
4. Website Usability
5. Search Engine Optimization

Katika hayo website ya UDOM labda unaisifia kwa Appearance

2.Lakini content hyo website haijitoshelezi ina dead links nyingi

3.Functionality yake pia ipo chini,
Speed yake ya ku respond ipo chini,sio interactive na mobile friendly
Kuna link ukiingia unarudishwa homepage

4.Stability ndio kabisa ipo chini mara nyingi ina ji reload

5.Kwenye search engine optimization angalau inafanya vizuri lakini huwez kuisifia kwamba ndio bora Tanzania kwani neno Udom lenyew lipo unique obvious uki search udom na upo Tanzania utaletewa Website ya Udom
Tunge judge vizuri kama ingekuwa ina kifupi kilicho common kama DIT au IFM
 
Unapima ubora wa chuo kwa uzuri wa website, halafu wewe wajiita mwana IT!!!! Kwa hiyo IT ni kutengeneza websites?!!! Kweli taaluma zinavamiwa.

Kuna watu kama huyo jamaa huwa wanatia kinyaa.
Unashangaa nini? Ashasema anatoka UDOM
 
Hii website kuna kipindi nilikuwa naingia hapo kila siku kuangalia baada ha mimi kufanya interview UDOM. Nisisite kukuambia kuwa hio website jnaweza kupotea hewani kwa siku mbili au tatu.. Nadhani huwa wakiiupdate au kuweka taarifa yoyote website inapotea hewa i na wakishamaliza ndio inarudi. Sijaipenda.
 
Back
Top Bottom