KIDUDU
JF-Expert Member
- Sep 17, 2012
- 2,557
- 1,927
www.udom.ac.tz hovyo tu
appearance, layout na mpangilio wa wa content viko poa sanaSioni chochote special kuhusu hiyo website, labda unaongelea nyingine ila sio udom.ac.tz, au kuna features zilizojificha ambazo wanafunzi mnaziona wengine haturuhusiwi kuingia? Zaidi ya hapo hiyo website ni nyepesi tu inatengenezeka bila challenges zozote.
chuki binafsi tuuwww.udom.ac.tz hovyo tu
chuki binafsi tuu we sema ya kwako bora basiwww.udom.ac.tz hovyo tu
UDOM acheni nguvu kubwa kujifanyia promo, boresheni kiwango cha elimu mtakwezwa wakati utakapofika.lakn mkuu hujaona chochote kizuri pale?? by the way embu angalia n ya DIT halaf uniambie lolote
UDOM acheni nguvu kubwa kujifanyia promo, boresheni kiwango cha elimu mtakwezwa wakati utakapofika.
sasa unaleta habari za website, hivi nitamshauri mdogo wangu akasome "Chuo kikuu cha UDOM" kwa sababu kuna website nzuri?
kiki zinatafutwaumeona vitu walivyogundua wanafunzi wa udom??UDOM acheni nguvu kubwa kujifanyia promo, boresheni kiwango cha elimu mtakwezwa wakati utakapofika.
sasa unaleta habari za website, hivi nitamshauri mdogo wangu akasome "Chuo kikuu cha UDOM" kwa sababu kuna website nzuri?
Vipi mkuu vya kulinganisha na vilivyo gunduliwa na UDSM.umeona vitu walivyogundua wanafunzi wa udom??
Huyu mleta mada ni kama anajitekenya na kucheka mwenyeweThread yako nyingine hii...
Chuo kikuu UDSM maringo kibao ila hamna lolote
Nafikiri wewe piah ni mwanaUDOM...
unajipongeza mwenyewe..!
Ila sio mbaya...
Ngoja na mimi nitembelee hiyo TOVUTI yenu nijionee huo UBORA..!
Katika vitu vya msingi kwa yule anetaka kuchagua program ya kwenda kusoma chuo ni taarifa kuhusu program hiyo. Kwa UDOM sidhani kama utapata taarifa za kina ambazo Prospectus ingeweza kusaidia au vipeperushi. Unataka ujue teaching staff imekaaje etc hivyo vyote huvipati. Kwangu mimi hilo pungufu ni kubwa sana na bahati mbaya siyo UDOM tu. Hivyo unajiuliza chuo kama hicho kweli kinataka kukompete? Fikiria uanataka uchukuwe program kama BA in Political Science and Public Administration unaingia TCU guide unagundua ni UDSM na UDOM tu ndio wanatoa hiyo program. Baada ya hapo unataka ujue hizo program zikoje na teaching staff yake ikoje-UDSM utapata taarifa hizo kwenye prospectus yao lakini UDOM hakuna kitu. Unapata picha gani. Kuna vyuo hata program nyingine wanazotoa hazionekani kwenye website ya chuo.kwanini hajaweka prospectus?
www.suanet.ac.tzchuki binafsi tuu we sema ya kwako bora basi
ndioKwani hiyo web ametengeza mwanafunzi??
yah hii nayo nimeikubali ila udom is the best