Kama hakuna mwenye panga hapo ni vigumu kumsaidia huyo kijana.Mpiga picha yuko kazini anaifanyia kazi kampuni kubwa ya habari za documentary(tazama quality na thamani ya hiyo kamera!)
MankaM;
Sema pole pole wasikusikie wakacheka. Chatu huyo, hanaga sumu kabisa. Utatolewaje usichokuwa nacho?? Sema ni wa Kisukuma huyo amefundishwa ngoma za kisukuma huyo. Angalia kichwa kimepoz kabisa kwa furaha ya wimbo wa huyo mtoto.