Hakuna utu au ubinadamu bila dini

Unatenda Mema sababu yanampendeza Mungu au Mungu anapendezwa nayo Sababu ni Mema ?

Binafsi natenda mema sababu ni mema sababu hata hizo mbingu ambazo wanasema utakwenda ukitenda mema kwangu mimi naona hazifurahishi..., yaani wachache mnakula bata wakati wengine wanaangamia na kupata shida (hio picture kwangu haina uzuri wowote zaidi ya horror movie)
 
You’re not serious mkuu
 
Kumbe
 

Attachments

  • 554CFA25-3AFD-449E-A2AD-35AA766024B6.jpeg
    102.5 KB · Views: 15
Kuna majambazi mengi tu makanisani yamekimbilia humo kukuua au kudhuru ni dk0
utu ni mtu mwenyewe anavyo amua aishi kuna wapagani pro max lkn matendo|utu wao wanatuzidi sie wenye dini za waarabu na wazungu.

Dini zinasehemu yake ndgo tu ya mema imagine pale saudia watu hukatwa mapanga hadi kuuawa mchana kweupe kisa umekosea na anae kufanyia huo unyama si mtimilifu. anafanya hivo akiamini dini ndivyo inavyosema.

kwenye bibilia imeandikwa jino kwa jino, upanga kwa upanga kuna utu gani au ubinadamu gani hapo?

dini inatumbembeleza tutoe matoleo yetu tu . Ahsante
 

Wasukuma utu wao walikuwa na mipaka ipi?

hizi dini si zinasema mwamke mzinzi apigwe mawe hadi kufa sio zenyewe?

si zinasema usipotunza sabato uuawe?

hao wana waisraeli si tunawasoma walikuwa wanaua ovyo hadi kuku na mende kwa maadui zao?


Unakumbka sauli alipoenda kupigana na aliambiwa na mungu wa kwenye biblia akauwe kila kilicho hai na hata asibebe kitu hata dhahabu ateketeze? ila yeye binafsi utu ukamwingia kwa WASICHANA WAREMBO WENYE NYASH MPODODO WENYE UMBO NO8 KIFUANI SA6 PAMOJA NA NG'OMBE WALE WALIONONA hakuwaua bali alikuja nao na mungu huy huyu akasirika mnon kwann amekwenda kinyume chake cha kutokuwaaua wale warembo na kuteketeza wale ngo'mbe?
 
 
Mwanamke alikuwa akipata mimba bila kuolewa . Mwanamke mwanaume wote wanachomwa mkuki kufa, jamii nyingi za Africa ziliua pacha , jamii nyingi ziliuwa albino kabla ya dini vipi hapo
 
Mwanamke alikuwa akipata mimba bila kuolewa . Mwanamke mwanaume wote wanachomwa mkuki kufa, jamii nyingi za Africa ziliua pacha , jamii nyingi ziliuwa albino kabla ya dini vipi hapo
kati ya waafrika na hao waisrael ni wapi walioua watu wengi zaidi ?sio watoto,wazee,vijana,wanawake kwa mifugo?

Unapoanzisha uzi hakikisha umejipanga hasa.

kwenye bible kuna mauji ya kutisha kuwahi kutokea.
picha linaanza mungu anaua watu wake kwa gharika wakubwa kwa watoto
hujaa kaa sodoma gomora zinakula kiberiti mifugo na watu na viumbe wote hadi sisimizi wanakufa.

mara paapu lutu anawakula mabinti zake bado unawaza ilikuwaje unaambiwa shekemu kabikiri kwa mabavu huko

unaamua kwenda mbele kidogo basi daudi ana mla mke wa mjeda na kumuua kabisa yule mjeda ili abaki na mke wake

usisahau kuwa mungu alimwekea mtu mmoja jina lake samson nguvu za ajabu yaani anawato**bea halafu anawaua huu ndo utu ulioletwa dini sio?
 
Mwanamke alikuwa akipata mimba bila kuolewa . Mwanamke mwanaume wote wanachomwa mkuki kufa, jamii nyingi za Africa ziliua pacha , jamii nyingi ziliuwa albino kabla ya dini vipi hapo
Sheria za nchi ndio zimeleta amani mkuu na sio dini

Dini zina sheria za kikatili sana
Ni sheria za kidunia ndio zilikuja kufuta ujinga kama huo wa kiimani
 
Ila dini za Wazungu hapana
 
 
Mimi nakubaliana na wewe, ukitaka kuiba unaanza kufikiria kuna mtu mkubwa anakuona unaacha... 😀 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…