mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,083
- 4,250
Kila mmoja anaamini Mungu ni mwanzilishi wa Dini yake .Nina maswali mawili,
1. MUNGU NI DINI GANI?
2. ENZI ZA UJIMA HAPAKUA NA UTU?
Utu hautokani na sheria utu hautokani na Elimu ndio maana wanaofungwa wengi ni wale wasio na hela na sio wale waliokosa utu. Huenda wauaji asilimia 90 wapo uraiani na 10 tu ndio wamefungwa . Sheria zimetungwa na binadamu na binadamu hana mipaka ya kufikiri au kutumia akili yake . Aliyetunga sheria anajua namna ya kuikwepa piaSasa kwanini kuna serikali, na vyombo vya sheria?
Maadili yapo bila dini, ni kikundi flani cha watu ndo kinaamua kutunga na kusimamia sheria flani, hayo ndo maadili.
Na labda nikuambie tu, hata wanyama wana maadili, ya binadamu ni magumu kidogo kwasababu ya utashi na hisia
Mungu mwenyewe hayupo, anaangalia watu wanaokufa kila siku halafu uko hapa unazungumzia maadili
Sasa kama dini ipo, na haifanyi kazi tuelewe nini?Utu hautokani na sheria utu hautokani na Elimu ndio maana wanaofungwa wengi ni wale wasio na hela na sio wale waliokosa utu. Huenda wauaji asilimia 90 wapo uraiani na 10 tu ndio wamefungwa . Sheria zimetungwa na binadamu na binadamu hana mipaka ya kufikiri au kutumia akili yake . Aliyetunga sheria anajua namna ya kuikwepa pia
The butcher one.Unazungumzia dini hizi za mungu wa majeshi?
Aliyekuumba kataka ufanye nini?Sasa kama dini ipo, na haifanyi kazi tuelewe nini?
Dini zenyewe zinatenganisha watu katika makundi
Dini zenyewe hazina mantiki eti utachomwa milele kwa makosa ya muda mfupi
Baada ya hizi dini mbili kubwa kushika hatamu ndio dunia imeingia kwenye utulivu kutoka kwenye mapigano ya kikabila au kijiji na kijiji au ufalme na ufalmeBila dini dunia ingekua sehemu yenye amani na upendo wa kweli hasa hizi dini mbili kubwa .
Dini huleta ubaguzi chuki na hata mauaji .
Dini hujenga jamaii ya watu wanafki .
Dini ndio imeondoa utu na ubinadamu .
Dunia ndio itajenga watu kuwa wema kwa sababu ya sheria eti. Watakuwa wema kweli au ndio hao wanauwa alafu wanakwepa sheria wasio husika wanafungwaDini hazina umuhimu wowote duniani wala hazijasaidia chochote zaidi ya kujenga watu duni wanaokuwa na wema machoni pa watu ila ndani yao ni waovu wa kutisha .
Watu wanapaswa kujitambua na kufanya mema kwa sababu ni jambo zuri kufanya mema na sio kwa sababu ya kwenda mbinguni na kuopa sijui moto .
SijakusomaDunia ndio itajenga watu kuwa wema kwa sababu ya sheria eti. Watakuwa wema kweli au ndio hao wanauwa alafu wanakwepa sheria wasio husika wanafungwa
Sheria haziwezi kujenga utu au ubinadamu ndani ya mioyo ya watuSijakusoma
Kinachojenga ni nini?Sheria haziwezi kujenga utu au ubinadamu ndani ya mioyo ya watu
Norway , Denmark Sweden, ni nchi zenye atheist wengi zaidi ila ni chi za watu peace mno.Kuna nchi zina dini kwa kiwango kidogo sana ila wana utu kuliko hata sisi huku wenye dini zetu.
Rejea korea kusini
Population yao ikoje na hali ya kiuchumi , na tabia zao.Norway , Denmark Sweden, ni nchi zenye atheist wengi zaidi ila ni chi za watu peace mno.
90% ni ReligionKinachojenga ni nini?