Hakuna usawa

Calist

Senior Member
Dec 17, 2010
130
7
Serikali kupitia shirika lake la umeme inawabagua wananchi wake kwa vigezo vya wenye nacho na sisi wabangaizaji, maeneo ya wakubwa mgao kiduchu lakini huku uswazini kila siku mgao, hata watu wa maji wmeanza tabia hiyo.
 
Inaudhi sana mfano sinza sasa hivi umeme unakatika karibu masaa 16 ukija unakaa masaa matatu unakatika tena baasi mpaka kesho yake tena
 
Back
Top Bottom