Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,023
- 54,309
Kumekucha Siku Nyingine Mwezi Mwingine Tarehe 01.08.019 Ila Sasa Kukiwa Kimya Hasa Huduma Ya Umeme Baadhi Ya Maeneo Ya Jiji Niliyopita Asubuhi Hii
Buza, Davis Corner, Kariakoo, Upanga
Nimeona Huduma Hakuna Tena Jiji Likiwa Ukiwa Mtupu
=====
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
Agosti 01, 2019
TAARIFA KWA WATEJA WETU WA MIKOA ILIYOUNGANISHWA NA GRIDI YA TAIFA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake wa Mikoa iliyounganishwa na gridi ya Taifa kuwa imetokea hitlafu kwenye mfumo wetu wa gridi ya Taifa Saa 12: 06 Asubuhi na kusababisha Wateja wetu wa Mikoa iliyounganishwa na gridi ya Taifa kukosa huduma ya umeme.
Wataalamu wetu na mafundi wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma ya umeme inarejea kwa haraka.
Tutaendelea kutoa taarifa zaidi.
*Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza*
Kwa mawasiliano
Kituo cha miito ya simu 2194400 na 0768 985100
IMETOLEWA NA:
OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU